Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Mnamkuza huyo PK bila sababu yoyote. Kanchi kapo kama Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora then mnakasifia na kumsifia huyo Rais ambaye cancer inamla. Pia kwani kuna kitu gani special amelifanya humu duniani hadi mnampamba na kumfanya unique zaidi ya kuua wapinzani wake? Huo ujasusi mnaomsifia ameifanya wapi?Zama za VIJANA wa nyerere kuwaaachia Madaraka vijana walio na damu CHANGA umefika
Muhoz kaneirubaga na Ivan kagame wanafaa Sana!!
Mawazo HURU
"Mbona wakati wa joseph kabila akiwa kitalani hakukuwa na hizo!!?
Ina Maana alikuwa na genleman agreement na na pk!?
Kwa Hiyo felix tshesekedi kapiga u-turn kinyume na makubaliano yake na kabila junior!!?
Kama tshesekedi hana backup kutoka mataifa mama ya ukanda huu asije angukia pua kutoka kwa jasusi mkongwe wa enzi na enzi Pk!!
Matokeo ya hizi kelele zitatoa mwelekeo Mpya wa ukanda huu!!
Binafsi nawaunga mkono Wakongo kwani wanateseka bila sababu sasa Vijana wameamua kuingia mtaani kujitetea na kuitetea nchi yao toka kwa wapuuzi kama huyo mzee.