Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

MKUU

MIMI simkuzi Bali,naisifu Akili yake tu!!

Angalau ana kiwanda cha magari sisi hatuna na KAZI yetu unaijua! Ni kupambania chama tu badala ya maendeleo!
Inaonekana wewe ni mwalimu wa UPE with very low IQ. Sasa kiwanda cha kuassemble magari kinahusiana vipi na ujasusi unaomsifia nacho?
 
.....Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walijeruhiwa Jumamosi kutokana na shambulizi la kundi la waasi wa M23 katika sehemu ya Kiwanja, Rutshuru, Kivu Kaskazini.

Waasi wa M23 wamekataa kuondoka mji wa Bunagana licha ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwataka kuondoka sehemu hiyo na kuacha mapigano.

source: Voice of America
Anywas,
Hili suala la waasi kuwashambulia walinda amani ni wazi kwamba hao walinda amani wapo na mission ya looting resourcea za DRC

M23 seems wanapambana na serikali na wezi wa mali za Kongo
 
Anywas,
Hili suala la waasi kuwashambulia walinda amani ni wazi kwamba hao walinda amani wapo na mission ya looting resourcea za DRC

M23 seems wanapambana na serikali na wezi wa mali za Kongo
Gari la walinda amani huko Congo(MONUSCO) lilianguka,likakutwa na magunia ya mchanga wa madini.

Hivyo ndivyo MONUSCO wanavyolinda amani huko Congo.
FVjL6ENWUAAmH8f.jpg
 
Mikwara ya mdomo, vikao vya jumuiya kama alivyofanya Kenyata na vikwazo vya biashara/uchumi na kufunga mipaka. Vita ni option ya mwisho.
Sio kila nchi Ni Superpower Kama ilivyo Marekani/EU zinazoweza kutoa sanctions tu kwa jinsi zinavyoamua.Nchi zetu Ni maskini hizi na zina matatizo yake ya ndani kibao tu.Na Marais wa Jumuia wao Wenyewe Wana Vita vyao vya kiuchumi/kijeshi/kisiasa.Mfano Tanzania vs Kenya, Uganda vs Rwanda(imepoa kidogo), Burundi vs Rwanda etc

ECOWAS imewawekea Vikwazo Guinea lkn hamna Kitu wajuba wanadunda tu,waliiwekea Mali lkn wahuni wapo tu.

Na hapo kwny Vita ndio hata usipafikirie,Hakuna nchi ya East Africa yenye uchumi wa kupigana Vita(Sana Sana zitapigwa Proxy wars na kila nchi itakipata Cha Moto kwa Muda wake(kiuchumi).
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe.....

Ikibidi askari waliopo congo warudi makwao maana tshekedi anaona kama vile anaiweza vita na pia anatumia mwanya huo kutuchonganisha..

Wamuachie tu apambane kivyake sisi tuwe observer
Anatetea nchi yake, ni ujinga kuacha kanchi ka ajabu (Rwanda) kaisumbue nchi kubwa (DRC)
 
Back
Top Bottom