ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka ile, ukifuatilia DRC kuanzia kipindi cha Kwame Nkrumah walikuwa pro Russian na Cuba ndio maana hata Che Guavara aliwahi kwenda kupigana Congo DRC, it is just tip of the ice berg lakini kuna fukuto kubwa chini yake. Juu unaweza kumuona tshkedi na mtusi lakini kuna mengi sana nyuma ya pazia