Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Kubwa jingaKwanini Congo yenyewe haitoboi wkt madini inayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa jingaKwanini Congo yenyewe haitoboi wkt madini inayo?
This is a war btn socialist and communist... Keep cool Russian and USA in Kongo... Why and why now? Let keep silenceRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua kutangaza vita dhidi ya Rwanda, nasi tupo tayari kuchukua hatua kali, maana hata sasa wanapoendelea kuchukua hatua kama hizo, haina maana kwamba Rwanda imelala usingizi mzito.”
Taarifa ya Serikali ya Rwanda ilisema kwamba ‘inasikitishwa na hatua ya DRC kumfukuza balozi Vincent Karega.”
Taarifa hiyo imeendelea kusema kwamba “wanajeshi wa Rwanda wameimarisha usalama kwenye mpaka na DRC na wanaendelea kufuatilia hali ilivyo nchini DRC” kufuatia mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Serikali.
Baraza la ulinzi la DRC linaloongozwa na Rais Felix Tshisekedi, lilimuamuru balozi wa Rwanda kuondoka nchini humo ndani ya muda wa saa 48, kufuatia ripoti kwamba Rwanda ilikuwa imetuma kikosi maalum cha kijeshi kuwasaidia waasi wa M23 katika sehemu za Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC.
Ripoti za DRC pia zinadai kwamba Rwanda imetuma wanajeshi katika wilaya ya Rubavu, mpakani na DRC kuwasaidia waasi wa M23.
Rwanda imekuwa ikikanusha kila mara, ripoti za kusaidia waasi wa M23 na kusisitiza kwamba kinachoendelea DRC ni swala la usalama wa ndani ambalo lazima lishughulikiwe na serikali ya Kinshasa.
Madai ya serikali ya Rwanda
![]()
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji wa serikali ya Rwanda amesema kwamba “ushirikiano unaendelea kati ya jeshi la DRC na waasi wa FDLR, na jaribio lao la kulenga sehemu za mpakani na Rwanda kwa mashambulizi na kueneza habari za chuki kuhusu Rwanda.”
Rais wa DRC Felix Tshisekedi Tshisekedi ameamuru maafisa wa usalama kuhakikisha kwamba raia wa Rwanda wasiingie DRC, huku Rwanda ikitaka raia wake kutokwenda DRC.
“Mimi kama msemaji wa serikali ya Rwanda, nawashauri raia wa Rwanda kufikiria mara mbili kabla ya kuingia DRC,” amesema Alain Mukurarinda, msemaji wa serikali ya Rwanda.
Tshisekedi anatarajiwa kulihutubia taifa kuhusu uhasama kati ya DRC na Rwanda na mapigano ya M23.
Hivi karibuni, Tshisekedi alifanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi la DRC na kutuma idadi kubwa ya wanajeshi na silaha katika sehemu za Kivu Kaskazini, kupigana na kundi la waasi la M23.
Mashambulizi ya M23
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walijeruhiwa Jumamosi kutokana na shambulizi la kundi la waasi wa M23 katika sehemu ya Kiwanja, Rutshuru, Kivu Kaskazini.
Waasi wa M23 wamekataa kuondoka mji wa Bunagana licha ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwataka kuondoka sehemu hiyo na kuacha mapigano.
source: Voice of America
😄😄 Bongo movie zinaharibu sana akili.Congo watrain snipers waingie kwa huyo paka shume wahakikishe wanafahamu ratiba zake wakimlenga akapotea basi na amani ya Congo itapatikana siku hiyo.
Silaha wazi disassemble leo inavuka triger, kesho magazine hadi vitimie wamlie timing wamu eliminate ashakuwa shida huyu.
Wakiplan vizuri mwepesi yule anaondoshwa vizuri tuu😄😄 Bongo movie zinaharibu sana akili.
Hawa ndio watu wabaya ambao hawatakiwi kupanda jukwaaniMuhoz kaneirubaga na Ivan kagame wanafaa Sana!!
Hiyo Rwanda unaijua au unasikia story za vijiweni? Ukifanikiwa kufika Rwanda utafuta maneno yako. Rwanda iko nyumna mno kwa mambo mengi ukiilinganisha na Tz, bado wanajitafuta.Kama ni akili ya kufanya taifa lisonge mbele, kagame yupo mbali kuliko sisi.
😄😄 Kweli kabisa,hamna Kitu pale.Wakiplan vizuri mwepesi yule anaondoshwa vizuri tuu
Jeshi la Kenya limeshakimbia huko Congo na kurudi zao Nairobi,wamejionea Bora wakapate BJ tamu huko kwao kuliko kufia porini.Ruto a mediate Hii shida Ili suluhu ipatikane haraka. Vita sio maneno mzuri ya kushabikia. Mungu aepushe kadhia hii
drc ni wajinga waoga. Hivi jeshi lote la drv likimatch kwenda rwanda kagame si atatoroka mabwana zake wanaonunua madini ya wizi kwake watamtorosha mapema sana. Let the drc army match with its might to rwanda tuone ujeuri wake.Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua kutangaza vita dhidi ya Rwanda, nasi tupo tayari kuchukua hatua kali, maana hata sasa wanapoendelea kuchukua hatua kama hizo, haina maana kwamba Rwanda imelala usingizi mzito.”
Taarifa ya Serikali ya Rwanda ilisema kwamba ‘inasikitishwa na hatua ya DRC kumfukuza balozi Vincent Karega.”
Taarifa hiyo imeendelea kusema kwamba “wanajeshi wa Rwanda wameimarisha usalama kwenye mpaka na DRC na wanaendelea kufuatilia hali ilivyo nchini DRC” kufuatia mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Serikali.
Baraza la ulinzi la DRC linaloongozwa na Rais Felix Tshisekedi, lilimuamuru balozi wa Rwanda kuondoka nchini humo ndani ya muda wa saa 48, kufuatia ripoti kwamba Rwanda ilikuwa imetuma kikosi maalum cha kijeshi kuwasaidia waasi wa M23 katika sehemu za Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC.
Ripoti za DRC pia zinadai kwamba Rwanda imetuma wanajeshi katika wilaya ya Rubavu, mpakani na DRC kuwasaidia waasi wa M23.
Rwanda imekuwa ikikanusha kila mara, ripoti za kusaidia waasi wa M23 na kusisitiza kwamba kinachoendelea DRC ni swala la usalama wa ndani ambalo lazima lishughulikiwe na serikali ya Kinshasa.
Madai ya serikali ya Rwanda
![]()
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji wa serikali ya Rwanda amesema kwamba “ushirikiano unaendelea kati ya jeshi la DRC na waasi wa FDLR, na jaribio lao la kulenga sehemu za mpakani na Rwanda kwa mashambulizi na kueneza habari za chuki kuhusu Rwanda.”
Rais wa DRC Felix Tshisekedi Tshisekedi ameamuru maafisa wa usalama kuhakikisha kwamba raia wa Rwanda wasiingie DRC, huku Rwanda ikitaka raia wake kutokwenda DRC.
“Mimi kama msemaji wa serikali ya Rwanda, nawashauri raia wa Rwanda kufikiria mara mbili kabla ya kuingia DRC,” amesema Alain Mukurarinda, msemaji wa serikali ya Rwanda.
Tshisekedi anatarajiwa kulihutubia taifa kuhusu uhasama kati ya DRC na Rwanda na mapigano ya M23.
Hivi karibuni, Tshisekedi alifanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi la DRC na kutuma idadi kubwa ya wanajeshi na silaha katika sehemu za Kivu Kaskazini, kupigana na kundi la waasi la M23.
Mashambulizi ya M23
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walijeruhiwa Jumamosi kutokana na shambulizi la kundi la waasi wa M23 katika sehemu ya Kiwanja, Rutshuru, Kivu Kaskazini.
Waasi wa M23 wamekataa kuondoka mji wa Bunagana licha ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwataka kuondoka sehemu hiyo na kuacha mapigano.
source: Voice of America
Kama vile naona vile vita vya style ya enzi za wakina yesu za Kubeba mapanga na kupanda farasi na ngao 😄😄drc ni wajinga waoga. Hivi jeshi lote la drv likimatch kwenda rwanda kagame si atatoroka mabwana zake wanaonunua madini ya wizi kwake watamtorosha mapema sana. Let the drc army match with its might to rwanda tuone ujeuri wake.
Hekima ya wacongo kutotaka kumwaga damu za wanyarwanda kagame alishawaona ni wajinga
Huyu Kagame apigwe, na wasiishie mpkani.Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua kutangaza vita dhidi ya Rwanda, nasi tupo tayari kuchukua hatua kali, maana hata sasa wanapoendelea kuchukua hatua kama hizo, haina maana kwamba Rwanda imelala usingizi mzito.”
Taarifa ya Serikali ya Rwanda ilisema kwamba ‘inasikitishwa na hatua ya DRC kumfukuza balozi Vincent Karega.”
Taarifa hiyo imeendelea kusema kwamba “wanajeshi wa Rwanda wameimarisha usalama kwenye mpaka na DRC na wanaendelea kufuatilia hali ilivyo nchini DRC” kufuatia mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Serikali.
Baraza la ulinzi la DRC linaloongozwa na Rais Felix Tshisekedi, lilimuamuru balozi wa Rwanda kuondoka nchini humo ndani ya muda wa saa 48, kufuatia ripoti kwamba Rwanda ilikuwa imetuma kikosi maalum cha kijeshi kuwasaidia waasi wa M23 katika sehemu za Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC.
Ripoti za DRC pia zinadai kwamba Rwanda imetuma wanajeshi katika wilaya ya Rubavu, mpakani na DRC kuwasaidia waasi wa M23.
Rwanda imekuwa ikikanusha kila mara, ripoti za kusaidia waasi wa M23 na kusisitiza kwamba kinachoendelea DRC ni swala la usalama wa ndani ambalo lazima lishughulikiwe na serikali ya Kinshasa.
Madai ya serikali ya Rwanda
![]()
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji wa serikali ya Rwanda amesema kwamba “ushirikiano unaendelea kati ya jeshi la DRC na waasi wa FDLR, na jaribio lao la kulenga sehemu za mpakani na Rwanda kwa mashambulizi na kueneza habari za chuki kuhusu Rwanda.”
Rais wa DRC Felix Tshisekedi Tshisekedi ameamuru maafisa wa usalama kuhakikisha kwamba raia wa Rwanda wasiingie DRC, huku Rwanda ikitaka raia wake kutokwenda DRC.
“Mimi kama msemaji wa serikali ya Rwanda, nawashauri raia wa Rwanda kufikiria mara mbili kabla ya kuingia DRC,” amesema Alain Mukurarinda, msemaji wa serikali ya Rwanda.
Tshisekedi anatarajiwa kulihutubia taifa kuhusu uhasama kati ya DRC na Rwanda na mapigano ya M23.
Hivi karibuni, Tshisekedi alifanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi la DRC na kutuma idadi kubwa ya wanajeshi na silaha katika sehemu za Kivu Kaskazini, kupigana na kundi la waasi la M23.
Mashambulizi ya M23
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walijeruhiwa Jumamosi kutokana na shambulizi la kundi la waasi wa M23 katika sehemu ya Kiwanja, Rutshuru, Kivu Kaskazini.
Waasi wa M23 wamekataa kuondoka mji wa Bunagana licha ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwataka kuondoka sehemu hiyo na kuacha mapigano.
source: Voice of America
ndiyo suluhisho la kiburi cha kagame na mabeberu walio nyuma yakeKama vile naona vile vita vya style ya enzi za wakina yesu za Kubeba mapanga na kupanda farasi na ngao 😄😄
inabidi Africa nzima tusimame na congo kama EU [emoji1099] walivofanya kwa Ukraine.
Nimeona mwana-goma akijiandaa kufyatua ICBM(Inter-continental Ballistic Missile) kuelekea Rwanda.ndiyo suluhisho la kiburi cha kagame na mabeberu walio nyuma yake
Wakongo wanateseka na nini?Mnamkuza huyo PK bila sababu yoyote. Kanchi kapo kama Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora then mnakasifia na kumsifia huyo Rais ambaye cancer inamla. Pia kwani kuna kitu gani special amelifanya humu duniani hadi mnampamba na kumfanya unique zaidi ya kuua wapinzani wake? Huo ujasusi mnaomsifia ameifanya wapi?
Binafsi nawaunga mkono Wakongo kwani wanateseka bila sababu sasa Vijana wameamua kuingia mtaani kujitetea na kuitetea nchi yao toka kwa wapuuzi kama huyo mzee.
Rwanda nae ana Jeshi au vikundi vya wanamgamboRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua kutangaza vita dhidi ya Rwanda, nasi tupo tayari kuchukua hatua kali, maana hata sasa wanapoendelea kuchukua hatua kama hizo, haina maana kwamba Rwanda imelala usingizi mzito.”
Taarifa ya Serikali ya Rwanda ilisema kwamba ‘inasikitishwa na hatua ya DRC kumfukuza balozi Vincent Karega.”
Taarifa hiyo imeendelea kusema kwamba “wanajeshi wa Rwanda wameimarisha usalama kwenye mpaka na DRC na wanaendelea kufuatilia hali ilivyo nchini DRC” kufuatia mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Serikali.
Baraza la ulinzi la DRC linaloongozwa na Rais Felix Tshisekedi, lilimuamuru balozi wa Rwanda kuondoka nchini humo ndani ya muda wa saa 48, kufuatia ripoti kwamba Rwanda ilikuwa imetuma kikosi maalum cha kijeshi kuwasaidia waasi wa M23 katika sehemu za Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC.
Ripoti za DRC pia zinadai kwamba Rwanda imetuma wanajeshi katika wilaya ya Rubavu, mpakani na DRC kuwasaidia waasi wa M23.
Rwanda imekuwa ikikanusha kila mara, ripoti za kusaidia waasi wa M23 na kusisitiza kwamba kinachoendelea DRC ni swala la usalama wa ndani ambalo lazima lishughulikiwe na serikali ya Kinshasa.
Madai ya serikali ya Rwanda
![]()
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji wa serikali ya Rwanda amesema kwamba “ushirikiano unaendelea kati ya jeshi la DRC na waasi wa FDLR, na jaribio lao la kulenga sehemu za mpakani na Rwanda kwa mashambulizi na kueneza habari za chuki kuhusu Rwanda.”
Rais wa DRC Felix Tshisekedi Tshisekedi ameamuru maafisa wa usalama kuhakikisha kwamba raia wa Rwanda wasiingie DRC, huku Rwanda ikitaka raia wake kutokwenda DRC.
“Mimi kama msemaji wa serikali ya Rwanda, nawashauri raia wa Rwanda kufikiria mara mbili kabla ya kuingia DRC,” amesema Alain Mukurarinda, msemaji wa serikali ya Rwanda.
Tshisekedi anatarajiwa kulihutubia taifa kuhusu uhasama kati ya DRC na Rwanda na mapigano ya M23.
Hivi karibuni, Tshisekedi alifanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi la DRC na kutuma idadi kubwa ya wanajeshi na silaha katika sehemu za Kivu Kaskazini, kupigana na kundi la waasi la M23.
Mashambulizi ya M23
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walijeruhiwa Jumamosi kutokana na shambulizi la kundi la waasi wa M23 katika sehemu ya Kiwanja, Rutshuru, Kivu Kaskazini.
Waasi wa M23 wamekataa kuondoka mji wa Bunagana licha ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwataka kuondoka sehemu hiyo na kuacha mapigano.
source: Voice of America
Majeshi duniani Ni ya NATO/US, Russia tu,waliobaki nawacheki tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii 😄😄Rwanda nae ana Jeshi au vikundi vya wanamgambo