Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

[emoji1][emoji1] basi Kumbe hata kusema Rwanda& Uganda inaiba madini Congo Ni uongo,maana wanaibaje wkt Walalahoi wanaangalia tu Kama vile hawana shida nayo [emoji1][emoji1]
Mimi nimekujibu uongo wako kuhusu ivyo viroba havina madini na kama kungekuwa na madini vingelindwa na sio kukaa kizembe hivyo binafsi nilipoona izo picha miaka ya nyuma na mtu akisema madini niliamini hivyo.
 
Wakongo wanunue hich kidude
img_3_1666414640371.jpg
 
Sema wakongo nao wamechachamaa naona patawaka moto si mda mrefu... kainchi km mkoa kanasumbua nchi kubwaaaaaa...wakongo nyinyi amsheni vita wahutu watakua upande wenu watamalizana nae maana wanamachungu wanashindwa ni wapi wapumulie
Ukiangalia hiyo nchi inayoisumbua Congo ni kama mkoa mmoja tu
images%20(24).jpg
 
Mimi nimekujibu uongo wako kuhusu ivyo viroba havina madini na kama kungekuwa na madini vingelindwa na sio kukaa kizembe hivyo binafsi nilipoona izo picha miaka ya nyuma na mtu akisema madini niliamini hivyo.
Ndio nakwambia,mission za kijeshi za UN huko CAR,Haiti,Sudan Kusini etc zote magari yake hayabebagi magunia ya mchanga,lkn ya MONUSCO wao wanabeba gunia za mchanga.

Muongo mtupu.
 
Ruto a mediate Hii shida Ili suluhu ipatikane haraka. Vita sio maneno mzuri ya kushabikia. Mungu aepushe kadhia hii
Tatizo ni PAKA, solution ni PAKA kuondolewa
 
Congo DR ipo salama kama kabila la watu wa banyamulenge litaondoshwa nord kivu na surd kivu au banyamulenge wakubali kuacha uchawa wanaoufanya nchini DR CONGO otherwise usalama eneo hilo litakuwa gumu. Kumuondosha balozi haitoshi tuu.
 
Tetesi za vita na vita haziepukiki. Njaa, ukame, magonjwa na natural disasters lazima vitaongezeka. Hizi ni dalili za kukamilika miaka kwa miaka 6000 aliyopewa mwanadamu kujitawala.
Baada ya hapo MFALME mwenye UFALME wake anakuja naye atatawala dunia nzima kwa fimbo ya chuma.

Asomaye na afahamu na mwenye masikio asikie!!
 
Jeshi la Kenya limeshakimbia huko Congo na kurudi zao Nairobi,wamejionea Bora wakapate BJ tamu huko kwao kuliko kufia porini.
Misitu ya Congo ni kwaajili ya wanetu wa 92 wazee wa kazi hizi, hata huyo mlingoti anawajua hao watu ni hatari mno.
 
Majeshi duniani Ni ya NATO/US, Russia tu,waliobaki nawacheki tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji1][emoji1]
Uliza nini kilitokea alipojifanya kusuka mapinduzi ya Pierre pale kwa warundi anayo habari.
 
Haka ka Paka lazima kashughulikiwe maana kana kiburi sana

Sasa viongozi wa EA wanashindwa kumpa silaha na kupeleka watu maana naona ana dharau sana na wanakaogopa

Mwafrika anamuibia mwafrika mwenzie madini halafu anampa mzungu ili aijenge Kigali ni ujinga sana

Badala wafanye biashara pamoja wamekuwa majambazi tu
Tunajua yote haya ni madini tu hakuna kingine
 
Kwanini Congo hawatumii madini Yao kujiletea maendeleo na wakawa matajiri mkuu?
 
Kwanini Congo hawatumii madini Yao kujiletea maendeleo na wakawa matajiri mkuu?
Nashangaa pia ila najua kulikuwa na wazungu wanachochea vita kwa maslahi yao
Ila nchi ina utajiri mkumbwa wa kila kitu mpaka hewa ila ni masikini wa kutupwa

Sielewi wana matatizo gani ambayo wameshindwa kuyatatua

Na je PK anaushawishi gani huko mbona anapambana sana?
 
Namuunga mkono Kagame 100%, Congo waachane na FDLR militiamen ili amani ya kweli ipatikane, lakini tatizo la Congo sio Rwanda au Banyamulenge tuu wana factions nyingi sana zinazopigana na sababu kubwa ni utajiri mkubwa walionao na weak government in Kinshasa
 
Back
Top Bottom