Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

Kwa kukusaidia tu ni kwamba anakuja MFALME kutoka nje ya dunia hii naye atatawala dunia yote kwa kufuata sheria, kanuni, Amri na taratibu zote za MUNGU pasipo kuyumbishwa na yeyote yule.
Hili ni somo la kiimani zaidi, but, aliyetufundishaa imani hii, kwasasa amekuja kivingine, anatamani tuharibikiwe, kama ndivyo, imani aliyoitufundisha ilikuwa ya mtego wa kututoa kwenye reli
 
Huyo Kagame anaiba madini miaka nenda rudi huko DRC. Anataka kuanzisha vita ili aendelee kuiba ila apiganie vita kwenye ardhi ya Congo DR.

Dunia haitaki kuona DRC inapata amani ili waendelee kuvuna mbao,wanyama na madini. Wakongo hawawezi kuwa salama mpaka hapo nchi wataakapo kuja kumpa Katumbi Chapwe. Poleni wakongomani.
 
Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23...
Paulo mutu murefu aka murderer
 
Hivi viroba vinajazwa mchanga na kuweka kwenye gari hizo za mapigano ili ikitokea limekanyaga Bomu la ardhini basi asikari na vifaa vikivyopo ndani hawapati madhara makubwa na zile fragmentation (vipande au chembechembe za chuma) za Bomu na sio madini kama unavyotaka kupotosha.
Nashukuru mkuu, jamaa na like nilimpa, ngoja nkafute.
 
Namuunga mkono Kagame 100%, Congo waachane na FDLR militiamen ili amani ya kweli ipatikane, lakini tatizo la Congo sio Rwanda au Banyamulenge tuu wana factions nyingi sana zinazopigana na sababu kubwa ni utajiri mkubwa walionao na weak government in Kinshasa
Congo inabidi mtu shupavu, ile nchi ni ya kuongozwa kwa mkono wa chuma, maana raia wenyewe wa congo ni uncivilised like savages in the jungle, huwezi kuwa na ndezi kama hao halafu unategemea kuwaongoza kikawaida nao wakatii mamlaka na kuleta peace and order, wanauana na kubaka wanawake wenyewe kwa wenyewe , to the most part Tatizo la Congo ni wa Congo wenyewe.
 
Huyo Kagame anaiba madini miaka nenda rudi huko DRC. Anataka kuanzisha vita ili aendelee kuiba ila apiganie vita kwenye ardhi ya Congo DR. Dunia haitaki kuona DRC inapata amani ili waendelee kuvuna mbao,wanyama na madini. Wakongo hawawezi kuwa salama mpaka hapo nchi wataakapo kuja kumpa Katumbi Chapwe. Poleni wakongomani.
😄😄 We jamaa bana wkt wacongo wako wanamtukana Katumbi mbaya kabisa wakisema kwanini hapazi sauti khs Rwanda kuivuruga Congo.

Katumbi Yuko zake kimyaaaaaaaaaa.
 
Nani alimuua huyu Colonel? Na askari aliowaacha waliuliwa na nani na kwa sababu zipi?
Walidai alipigwa ambush na M-23 lkn utata ni kuwa eneo alilokuwa lilikuwa ni mbali zaidi na walipo waasi (Km 156)

Maafisa aliowaacha waliouwawa ni 11 kwenye mazingira tata sasa

Muhusika inahisiwa ni vigogo walio ndani ya jeshi
 
Unadhani Rwanda ni Burundi sio ? ,Mtapigwa mchakae
Kimewaka kama jeshi ni kuvaa ma uniform basi Paulo atashinda ila kama battle ni intelligence na mapigo mapema sana Paulo anarudisha namba.
 
Back
Top Bottom