Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Ngoja tuone kitakachotokea baada ya vijana wa Kenya kuingia ndimbaniRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone kitakachotokea baada ya vijana wa Kenya kuingia ndimbaniRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi...
Hili ni somo la kiimani zaidi, but, aliyetufundishaa imani hii, kwasasa amekuja kivingine, anatamani tuharibikiwe, kama ndivyo, imani aliyoitufundisha ilikuwa ya mtego wa kututoa kwenye reliKwa kukusaidia tu ni kwamba anakuja MFALME kutoka nje ya dunia hii naye atatawala dunia yote kwa kufuata sheria, kanuni, Amri na taratibu zote za MUNGU pasipo kuyumbishwa na yeyote yule.
Uchiz wa PAKAKanchi kadogo ila jeuri. Nani yupo nyuma ya Rwanda?
Congo huku kuna maandamano ya raia jana kwenyewe raia wamegoma moto gari la munisco goma.Gari la walinda amani huko Congo(MONUSCO) lilianguka,likakutwa na magunia ya mchanga wa madini.
Hivyo ndivyo MONUSCO wanavyolinda amani huko Congo.View attachment 2403378
Sio kweliushirikiano unaendelea kati ya jeshi la DRC na waasi wa FDLR, na jaribio lao la kulenga sehemu za mpakani na Rwanda kwa mashambulizi na kueneza habari za chuki kuhusu Rwanda.”
Ya ushuzi labdaMkimzingua kagame atatumia nyuklia ohooo.
PK ana cancer?
Duh!...huyu mzee ana gonjeka ?Kwani hujui ana Cancer ya Damu?
Sahihi kabisa...siku wakimchoka watamwaga tu kama walivyomfanya Savimbi na Mobutu.Shida sio Rwanda,Shida ni wale walio nyuma ya Rwanda.
Paulo mutu murefu aka murdererRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23...
Paulo mutu murefu aka murderer on the beatRwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza...
Unadhani Rwanda ni Burundi sio? Mtapigwa mchakaeHaka kanchi inabidi kapigwe kivita ndani ya masaa matatu tu!
Nashukuru mkuu, jamaa na like nilimpa, ngoja nkafute.Hivi viroba vinajazwa mchanga na kuweka kwenye gari hizo za mapigano ili ikitokea limekanyaga Bomu la ardhini basi asikari na vifaa vikivyopo ndani hawapati madhara makubwa na zile fragmentation (vipande au chembechembe za chuma) za Bomu na sio madini kama unavyotaka kupotosha.
Asipokuelewa mpuuzieKuwe na madini hao walalahoi wayaangalie tu hawana shida nayo? madini gani Kwa uwingi huo wa kwenye viroba hayana hata ulinzi? Wewe ndio unadanganya watoto wasioelewa.
Congo inabidi mtu shupavu, ile nchi ni ya kuongozwa kwa mkono wa chuma, maana raia wenyewe wa congo ni uncivilised like savages in the jungle, huwezi kuwa na ndezi kama hao halafu unategemea kuwaongoza kikawaida nao wakatii mamlaka na kuleta peace and order, wanauana na kubaka wanawake wenyewe kwa wenyewe , to the most part Tatizo la Congo ni wa Congo wenyewe.Namuunga mkono Kagame 100%, Congo waachane na FDLR militiamen ili amani ya kweli ipatikane, lakini tatizo la Congo sio Rwanda au Banyamulenge tuu wana factions nyingi sana zinazopigana na sababu kubwa ni utajiri mkubwa walionao na weak government in Kinshasa
😄😄 We jamaa bana wkt wacongo wako wanamtukana Katumbi mbaya kabisa wakisema kwanini hapazi sauti khs Rwanda kuivuruga Congo.Huyo Kagame anaiba madini miaka nenda rudi huko DRC. Anataka kuanzisha vita ili aendelee kuiba ila apiganie vita kwenye ardhi ya Congo DR. Dunia haitaki kuona DRC inapata amani ili waendelee kuvuna mbao,wanyama na madini. Wakongo hawawezi kuwa salama mpaka hapo nchi wataakapo kuja kumpa Katumbi Chapwe. Poleni wakongomani.
Walidai alipigwa ambush na M-23 lkn utata ni kuwa eneo alilokuwa lilikuwa ni mbali zaidi na walipo waasi (Km 156)Nani alimuua huyu Colonel? Na askari aliowaacha waliuliwa na nani na kwa sababu zipi?
Rwanda ni kama mkoa wa Morogoro tu 😂😂😂Ukiangalia hiyo nchi inayoisumbua Congo ni kama mkoa mmoja tuView attachment 2404073
Kimewaka kama jeshi ni kuvaa ma uniform basi Paulo atashinda ila kama battle ni intelligence na mapigo mapema sana Paulo anarudisha namba.Unadhani Rwanda ni Burundi sio ? ,Mtapigwa mchakae