Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Awajengee nyumba ya mil 400 aliyo ibomoa na kujenga hilo ghorofa. Njia halali na raisi ni kukaa nao mezani apewe hisa awe mmoja wa wamiliki. Sema hapo kuna kugeulana mbeleni vifo vya ghafla kuibiana nyaraka hila za kibiashara kurubuni wana hisa kuuza hisa zao n.k vinaweza kutamalaki😎😎😎Aombe mapitio ili mahakama iamuru waliokuwa wamiliki wa awali ambao wamerudishiwa umiliki wao wamlipe gharama za jengo au aruhusiwe kulivunja jengo lake ili wao wabaki na kiwanja chao.