S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Huenda Kampuni imesharejesha pesa zake za Uwekezaji na hapo walikuwa wanakula faida tu..
 
Kwa sasa maeneo ya Kerege, mapinga. Sio sehemu ya kununua viwanja kwa mtu...kuwa makini.
Uko sahihi
Yaani kama Mapinga uwiiii kulizwa dakika moja tu

Kifupi maeneo yote kuelekea bagamoyo kuanzia Tegeta hadi mapinga na Kerege kote hulo matapeli ni asilimia 99 wawe madalali au wamiliki

Hayo ni maeneo hatarishi kununua kiwanja unless umejihakikishia beyond reasonable doubt
 
Amesharudisha sehemu kubwa SANA ya gharama zake kwa Kodi za wapangaji hapo!
Ukisikia Mali ya urithi ya familia hasa Kwa waswahili wa Pwani. Achana nayo, ni taabu tupu, kesi imeunguruma mpaka watatu wamekufa daahh pole zake
 
Haruhusiwi, ni jambo lisilo na faida yoyote kwake na ni kuhujumu uchumi wa taifa!
Nani kakwambia jamaa akiamua anaweza akavunja akachukua material zake za ujenzi usikariri akabaki kumuachia jamaa kiwanja chake
 
Mungu ni mwema sana.
Hivi ndivyo haki inavyokua haipotea, ingawa inaweza tu ikacheleweshwa.
Miaka kuanzia ya 2014 kurudi nyumba, wafanya biashara/wanasiasa walionekana kua wenye mguvu kuliko hata serikali, na hii ndio matokeo ya sheria zilizo pindishwa na wenye fedha/mamlaka enzi hizo
Na kuchelewa huku kwa haki kumewafanya watu wengi kupoteza mali zao na kuishia kusema "tunamwachia Mungu"
 
Back
Top Bottom