Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.

Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
 
Niko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Hukwenda shule kabisa mbna hio elimu tulipata primary shule ya kata

Sisi wakati tunasoma wewe unachunga mbuzi
 
Back
Top Bottom