Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

Sun set ya Dar na Mbeya ni tofauti kutokana na mzunguko wa dunia. Ndiyo maana kuna tofauti ya saa kati ya Zambia na Tanzania. Ninyi mko karibu na Zambia kwa uhalisia mko nyuma saa moja kuliko walio dar. Lakini kwa vile ni nchi moja hatuwezi kuwa na masaa tofauti. Hiyo inatokea taifa kubwa kama Marekani na Rassia katika nchi zao wanatofautiana masaa katika baadhi ya majimbo.
 
Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.

Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Saa moja si usiku ni jioni, usiku unaanza saa mbili, pia hayo ni majira ya mwaka ndiyo yanayosababisha hilo. Kuna kipindi mchana mkubwa kuliko usiku, utajua unapoona kunawahi kupambazuka na kuchelewa kuingia giza.

Kuna kipindi usiku mkubwa kuliko mchana, utajua ni giza kuchelewa kutoka asubuhi na kuwahi kuingia jionu
 
Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.

Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?

shule ulipitia tu? Karudi darasani usituchoshe kwa uzembe wako
 
Huko ulaya na dunia ya kaskazini au kusini kuna msimu hadi saa 4 usiku jua bado lipo. Ngoja waje wataalam wa jiografia kukuelimisha.
Jana hakukuwa na Jua hiyo saa 1 ndo maana nikashangaa
 
Huku ni nyanda za juu. Inamaana kutokea usawa wa bahari Dar ipo chini so jua linapoazama huwa linapotelea upande wa magharibi ambao ndio nyanda za juu sasa.

So mataifa ya magharibi pia yana experience kuchelewa usiku zaidi ya huko mbeya. Na hivyo kupambazuka pia yanachelewa mara mbili zaidi ya huko.
 
Ndio sikuwahi kukanyaga shule kabisa mkuu,nipe elimu,acha story.
Alitakiwa kueleza huko shule amefundishwa nini kuhusu mbeya, maana hata vitabu vya kufundishia vinatofautiana kulingana na nyakati.

Mfano mimi miaka niliyosoma mimi nakumbuka vitabu vya jiographia nivyosoma, wafanyakazi wa Tanzania, Wafanyakazi wa Afrika mashariki, kipindi hicho ni nchi tatu tu, Tanzania Kenya na Uganda, sikumbuki kama kulikua na Wafanyakazi wa Afrika, ila nakumbu wafanya kazi wa Ulimwengu, cha Darasa la saba.
Na, kulikua na Atlass kwa shule za msingi Tanzania, kwenye jarada la nyuma ndani kulikua na bendera za nchi za Afika kama sikosei.

Ila sahizi vitabu vya Geographi, hutambulika kuenda na madarasa, Kitabu cha Geographi Darasa la nne, tano, sita.
 
Nenda memkwa kwanza
Sema sisi Watanzania tunajifanya tumesomaa, ila hatuelimika, kwa mfano nyie wasomi hamjui kuwa siyo kila mtanzania, aliyesoma shule anayajua kila mazingira ya Kitanzania.

Hivi wazungu hawakusoma, wanaofunga safari toka kwao, kupiga picha matukio ambayo hata yalielezea na sayansi, mfano kupatwa kwa jua, utasikia eneo fulani litakua na giza kuliko maeneo mengine.
Utakuta wenzetu wanaenda kupiga kambi eneo hilo, kushuhudia tukio na kupiga picha.

Tukio la kuhama kwa wanyama mara kule Wazungu hupiga kambi na kulishuhudia na wakirudi kwao huwasimulia wengine.

Ila sisi washamba sana, tunajifanya tunajua kumbe hatujui.
Elimu ya msingi hadi Secondary, si ya elimu kubwa ni kawaida tu, yaani ni General Education, ambayo kila mtu anatakiwa aipate, Elimu ya chuo ndiyo yenyewe maana watu husomea taaluma.
 
Back
Top Bottom