Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Nenda memkwa kwanzaNdio sikuwahi kukanyaga shule kabisa mkuu,nipe elimu,acha story.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda memkwa kwanzaNdio sikuwahi kukanyaga shule kabisa mkuu,nipe elimu,acha story.
Kama umeweza kuingia humu na kucomment,ni ubize gani huo unaousema mkuu?Kama Elimu yako ni kidato cha nne ungejiuliza na kupata majibu mwenyewe... Any way ntaleta sababu za hili swala na picha kwa evidence but niko busy kwa leo.. Asante
Niko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Mwongo huyoBadala mlete picha,mnaleta porojo.
Nilikuwa Kigoma mwezi wa 8, nikarekodi muda wa jua kuzama, kule jua linazama saa 6:53 iweje Mbeya lizame saa 7:13 wakati Kigoma ndio Magharibi zaidi?Kawaida hiyo kwa mikoa iliyopo magharibi mwa Tanzania kama Kigoma, Kagera, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe na baadhi ya maeneo ya Njombe...tena ndio kwanza kuna raia mida hiyo wapo huru hata kuanika nguo 🤣🤣
Kuna picha nishawahi weka kwenye uzi wa road trip...moja jioni ni kweupe kama 12 kasoro ya Dar au Pwani...
Majira ya mwezi wa nane hayafanani na sasa. Kama lilizama 6:53 basi Mbeya lilizama mapema zaidi. Kama leo Mbeya limezama 7:13 basi huko Kigoma lilichelewa zaidiNilikuwa Kigoma mwezi wa 8, nikarekodi muda wa jua kuzama, kule jua linazama saa 6:53 iweje Mbeya lizame saa 7:13 wakati Kigoma ndio Magharibi zaidi?
Nyanda za juu kusini hizoNiko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Ha ha, yani hapo ni jiografia tu tena ile basic kabisa ya shule ya msingi darasa la 5 au 6 unapata majibu yote...Hukwenda shule kabisa mbna hio elimu tulipata primary shule ya kata
Sisi wakati tunasoma wewe unachunga mbuzi
Wakati wenzako tunamsikiliza mwalimu,wewe ulikuwa unaweka kioo chini ya madawati uangalie chupi za wadada.Niko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Sasa mbona hamtoi majibu nyie wasomi,mmeishia tu kusema mara sijui geography ya darasa la 3 mara darasa la 6 na 5 ila majibu hamtoi.Ha ha, yani hapo ni jiografia tu tena ile basic kabisa ya shule ya msingi darasa la 5 au 6 unapata majibu yote...
Alikuwa anasugua tumba za ubuyu anachoma wenzake mkononiHukwenda shule kabisa mbna hio elimu tulipata primary shule ya kata
Sisi wakati tunasoma wewe unachunga mbuzi