Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha huko misosi inakubaliSaa 1:12 Jioni Mbeya
View attachment 2517687
Hivi ni kweli bado unauliza, chukua tufe, mulika uoande mmoja halafu mwingine ubakixbila mwabga, halafu jijibu mwenyeweNiko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Wakati sir Mwakisyala au madam Mwakalinga wanafundisha concept ya rotation ya Earth on its axis we ulikua unasugua mkono kunusa mavi ya kuku au siyo kyagata hio inatokana na Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake na kusababisha tofauti muda kati ya longitude licha ya kwamba tupo Longitude sawa "45° Mash" lakini baadhi ya maeneo yanatofautiana kidogo suala la muda Kwa mfano eneo la kigoma Ujiji na Mtwara Mikindani wanachukua mda mmoja ila Kigali Rwanda na Kibondo kigoma wanachukua mda tofauti licha ya kuwa jirani sanaNiko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Yani bado Geography inatembea kuna miezi kadhaa ambayo jua linawahi kuzama tofauti na mingineNilikuwa Kigoma mwezi wa 8, nikarekodi muda wa jua kuzama, kule jua linazama saa 6:53 iweje Mbeya lizame saa 7:13 wakati Kigoma ndio Magharibi zaidi?
Bora wewe umeniponda ila umenipa elimu mimi ngumbaruWakati sir Mwakisyala au madam Mwakalinga wanafundisha concept ya rotation ya Earth on its axis we ulikua unasugua mkono kunusa mavi ya kuku au siyo kyagata hio inatokana na Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake na kusababisha tofauti muda kati ya longitude licha ya kwamba tupo Longitude sawa "45° Mash" lakini baadhi ya maeneo yanatofautiana kidogo suala la muda Kwa mfano eneo la kigoma Ujiji na Mtwara Mikindani wanachukua mda mmoja ila Kigali Rwanda na Kibondo kigoma wanachukua mda tofauti licha ya kuwa jirani sana
Hii kitu inatafakarisha Sana hasa sisi tuliopo mtambaswalaWakati nchi nyingine huko duniani wakati wa summer jua linawaka mpaka saa nane usiku.. Haya ni mambo ya kawaida tu
Basi achana na hili sio level yakoNursery
Mkuu naomba kuifahamu hiyo nchi.Wakati nchi nyingine huko duniani wakati wa summer jua linawaka mpaka saa nane usiku.. Haya ni mambo ya kawaida tu
Finland, Russia na zingine za ukanda huo. Hii sijasimuliwa nimeshuhudiaMkuu naomba kuifahamu hiyo nchi.