Hukwenda shule kabisa mbna hio elimu tulipata primary shule ya kataNiko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Dogo unakiburi kama chamshua wako. Nilimuonya peter mallya asirushe kale kasingle engine cassena gizani huku kalewa hakunisikiaHukwenda shule kabisa mbna hio elimu tulipata primary shule ya kata
Sisi wakati tunasoma wewe unachunga mbuzi
Nenda kigoma ambako jua linazama saa mbili.Niko mbeya,hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka,nimewasliana na mtu yuko dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper.
Kwa nini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
Cessna caravanDogo unakiburi kama chamshua wako. Nilimuonya peter mallya asirushe kale kasingle engine cassena gizani huku kalewa hakunisikia