Naunga mkono hoja , imekuwa kero kubwa walimu wa bongo wanapenda maandalizi zima moto bila kujali kuna athari zipi.NINAOMBA MODS HII THREAD WAI'PIN NA IKIWEZEKANA WAIZUNGUSHE KWENYE SOCIAL NETWORKS ZAO ILI WENYE MAMLAKA WALIONE HILI NA WALIFANYIE KAZI...
Una uhakika?Ni kwa sababu za tuition na remedial. Walimu nao wanakula kwa urefu wa kamba zao. Kuna shule wazazi wanatozwa fedha kila wiki kwa ajili huyo. Serikali inawadanganya Kuna Elimu ya Bure?!
Upo ,mimi nina uhakika mdogo wangu shuleni kwao form 4 wanatozwa kila wiki 2500 .Una uhakika?
Sasa huyo ni nini anatafuta ..mbona ndio anazidi kuharibu...?KIMBIJI SHULE YA MSINGI..KIGAMBONI DSM
mwl mkuu kama upo humu naomba huo utaratibu wa kuwachanganya watoto wa darasa la Saba na la 6 pamoja wakati hata topic za darasa la tano hamkuzimaliza Bado mnawarukisha watoto wasome Mambo ya darasa la Saba hailet tija
Binafsi mnawarudisha nyuma watoto
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tulipigieni kelele hili...Watoto wengine wanakaa umbali mrefu mfano mtaani kwangu watoto wa drs la 7 wanataka saa 11alfajiri na kurudi saa 2 usiku huku wakiwa wamechoka kabisa.
Basi hili tulipigie kelele...fanya tafiti zaidi. mara nyingi yanakuaga maagizo toka ngazi za juu. Walimu wanapangiwa majukumu ya ziada , wakati mwingine huwa nje ya muda wa kazi. Hamna mwalimu asiependa kupumzika na kufanya shughuli zake za kimaendeleo.
Kwani mitihani hii si ipo miska nenda rudi na mtaala ni huo huo, sasa nini kinafanya mtaala uishe Novemba mtihani uwe Septemba!Ninachojua mimi nikuwa mfano darasa la saba wanafanya mtihani mwezi wa 9 sasa bila kuongeza muda wa kosoma hawawezi maliza topic, ambazo kikawaida huwa zinaisha mwezi wa 11.
anasoma wapi?Mie niko na mdogo wangu mmoja anaenda saa 12 alfajiri mpaka sai saa mbili kasoro bado hajarudi et darasa la saba na kila siku ni hivo hivo dah. Et waalim hawataki kufelisha.