Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
ndio hapo Sasa tabu vitu vyenyewe wanavyohenya ni historia za kina kinjeketile Ngwale,mzingo na mduara wa pembe tatu,uraia na maadili Yaani elimu ya kiboya tu ambayo hata mtu ambaye hajaenda shule anaijua Katika mazingira halisia!Sisi wakati tunasoma darasa la kwanza tunaingia saa mbili tunatoka saa tano. Darasa la pili kuanzia saa sita hadi saa kumi. Na tulikuwa vizuri sana
Hiiii BHA ghoshaaaa!