Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

Juma2010

Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
26
Reaction score
48
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
 
Unamuhitaji kiasi gani? Kama unajiona hujiwezi kwake basi hakuwa kwa Mwanaume huyo ni kweli alikuwa kakublock bahati mbaya,kama unajiweza vizuri bila yeye hapo huna ushahidi wa kumpa tuhuma,kuwa mpole alafu tafuta ushahidi,fanya upelelezi wako kimya kimya. Fanya Maamuzi baada ya hapo. Pole sana bro najua hujalala.
 
Wanawake sio wataalam sana wa matumizi ya sim. Mimi pia Kuna Binti aliomba nimsaidie Hela kidogo. Wakati nataka kumpigia ili nimpe location akawa anatumika. Tuma meseji hazijibiwi, piga anatumika mpaka siku mbili. Siku ya tatu naonana nae ananilaumu kuwa nilimdanganya. Tulijaribu kupiga ipo bize kama Kawa, tukakagua sim kumbe kablock bila kujua, tukarekebisha na maisha yakaendelea. Ukiona umeanza kuwa na mawazo hasi Kwa mpenzi wako ujue uanaume unakushinda kwahiyo kaunge juhudi.
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Man down, I repeat man down... Iko wazi kama antena yako juu ya bati
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Una miaka 14

Kichaka ulichoingia hakikufai
 
Huyo ana mwanaume mwingine swali ni kwamba "kama alikublock kwa bahati mbaya Kwa nini hakuwaza kukupigia?"
 
Ondoa fikra potofu mkuu

IMG-20240509-WA0003.jpg
 
Hata kama mwanaume ni mbulura kiasi gani kuna vitu hutakiwu kumvumilia mwanamke hata kama ni bora kwako kiasi gani <Usaliti na dharau> mara nyingi huwa vinakaa sahani moja.
Mimi naona bado hujapata uhakika ila jipe tu muda kila kitu kitakuwa wazi maana jinsi atakavyo kuwa anazidi kutobwa njee ndio dharau zitakuwa zinazidi juu yako
 
Unamuhitaji kiasi gani? Kama unajiona hujiwezi kwake basi hakuwa kwa Mwanaume huyo ni kweli alikuwa kakublock bahati mbaya,kama unajiweza vizuri bila yeye hapo huna ushahidi wa kumpa tuhuma,kuwa mpole alafu tafuta ushahidi,fanya upelelezi wako kimya kimya. Fanya Maamuzi baada ya hapo. Pole sana bro najua hujalala.

Ushauri mzuri
Ni kweli hajalala huyu 😂
 
Back
Top Bottom