Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

Wanawake sio wataalam sana wa matumizi ya sim. Mimi pia Kuna Binti aliomba nimsaidie Hela kidogo. Wakati nataka kumpigia ili nimpe location akawa anatumika. Tuma meseji hazijibiwi, piga anatumika mpaka siku mbili. Siku ya tatu naonana nae ananilaumu kuwa nilimdanganya. Tulijaribu kupigwa ipo bize kama Kawa, tukakagua sim kumbe kablock bila kujua, tukarekebisha na maisha yakaendelea. Ukiona umeanza kuwa na mawazo hasi Kwa mpenzi wako ujue uanaume unakushinda kwahiyo kaunge juhudi.
Saafi sana! Sema Dogo hajalala Kabisa na uwezo wa kusafiri aliko demu Hana, hapo ndio maumivu yanazidi
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Achana naye tu. Piga nyama chini.
 
Sasa unataka uambiwe na nani ndio uamini kuwa wakati ukiambiwa namba inatumika alikuwa akitumika yeye?
Hata tukikwambia sisi hautaamini utaenda kumuuliza mhusika tena kama alikuwa akitumika
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Babu jinga Mali yako inaliwa
 
Inaonekana bado unampenda sana huyo mwanamke ila kwa dalili hizo ashakuacha sema anaogopa kukueleza ukweli .

Chamsingina cha sekondari fanya nawe kumuacha na usimpigie hata simu wala kumtumia sms naimani naye atakupuuza , usikubali kuendeshwa na hisia .
 
Tangu nimkute Siku Moja anasikiliza nyimbo ya singeli "....hakuna cha peke yako Baba zaidi ya kaburi..."

Nikajua huyu demu sio wa kwangu peke yangu 🙌

Unapokuwa una-date PisiKali hizo mambo ya kumegemewa na kushea tujiandae navyo

Ukijifanya una date malaika tujiandae kukuzika Kwa presha/Kisukari hasa Kwa sisi Wazee 🤗🙌
 
Inaonekana bado unampenda sana huyo mwanamke ila kwa dalili hizo ashakuacha sema anaogopa kukueleza ukweli .

Chamsingina cha sekondari fanya nawe kumuacha na usimpigie hata simu wala kumtumia sms naimani naye atakupuuza , usikubali kuendeshwa na hisia .
Ananitafuta. Hata sasa amemaliza kunitext nimeamkaje. Ila hisia kumwambia aje ghetto zinaisha. Hakuna mke hapa
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.

Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.

Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.

Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.

Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Msamehe huenda aliblock bahat mbaya
 
Back
Top Bottom