Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Dawa moja tu tafuta mtu mwingine huyo sio wako.....utakufa bure pressure....achana nae mapenzi mbali shida.....tafuta demu wa karibu wewe utakufaaaaaaWadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali