Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue sio kutumika. Issue ni blocking 🚫 ambaye anasema aliifanya bahati mbaya ghafla saa 12 asubuhi ndio akakumbuka aka unblock.Umeandika kitu kizuri. Tabia ya kuhukumu bila kuwa na uhakika imevunja mahusiano mengi. Mtu akipiga simu haipo hewani anaanza kuwaza anaibiwa, ikiwa inatumika anawaza anaibiwa hii si njema kwa afya ya mahusiano. Ajipe muda kama anaibiwa kweli atajua.
Mrs wangu aliniblock bila yeye kujua, nikapiga namba nyingine kwenyw simu yake ndogo akapokea, nikamuuliza mbona laini nyingine uko busy?? Akasema iko online mbona, sikufuatilia zaidi, niliporudi nyumban nikakuta umeblock kwa bahati mbayaWadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Shukrani sana mkuuPole sana mkuu
Hii kitu inafikirisha sana mkuuUsiku kucha ulali unamtafuta kiumbe hai
Mimi siko hapa kupinga au kusapoti mtu mkuu; maana mambo menyewe haya wala hayanaga fomyula. Nimetoa tu uzoefu wangu.Mkuu acha kuwa support hawa, sio wajinga kama udhanivyo they know what they're doing. Mwanamke kama hakupendi na anakutumia lazima atakupa red flags ambazo ndo hizi watu wengi wanachanganya eti kujisahau. Jamaa hapo hatakiwi ku second guess, huo ni ulofa kabisa. Kadri atakavyo vumilia ndo maiumivu makubwa atayapata mbeleni.
Hivi ku block kwa bahati mbaya ndo kukoje??😂Kama una demu kapanga kwake na humlipii kodi acha wivu kijana. Jua tu kuna sponsor na akipiga simu lazma ipokelewe na wewe upo kundi la wasumbufu. Hakuna kitu kama block ya bahati mbaya
Kwa nini usimuamini mwenzako. Kama mligombana aka ku-block amini, lakini kama hamjagombana ila alikosea aka ku-block bahati mbaya hauna haja ya kuleta haya masuala mtandaoni.Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa.
Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa bahati mbaya na alishituka baada ya kuona sijamtafuta. Akaomba msamaha.
Jana nikamwambia ulikuwa umelala na mwanaume mwingine. Nikamtext nikamwambia kama una mwanaume mwingine naomba uniambie. Akajibu NAOMBA TULALE. Lakini bado ananitafuta. Kuna kitu kinaniniga wallah.
Ameshindwa kuniambia kama ana mwanaume mwingine. Ushauri tafadhali
Duhh! Pole sana.Issue sio kutumika. Issue ni blocking [emoji724] ambaye anasema aliifanya bahati mbaya ghafla saa 12 asubuhi ndio akakumbuka aka unblock.
Yaani aliblock namba. Sasa sijui alishindwa kuona hata jina alilosevu kwa simu yake?
[emoji23][emoji23] duh! Wifi yangu katisha sana na ukute si kwamba pesa ya kununua sabuni nzuri hana ila anaona ubahili.Sabuni ya kipande kama jamaa,komoa, mbuni [emoji23]
Sawa sawa.Hapana, ila napenda kuwa alert watu kuhusu hii michezo, nikiwa muhanga mojawapo, wanawake wengi sana wanachezea watu kisaikolojia and it's seen normal. Mm sipendi watu feki.. kuna utofauti wa bahati mbaya na hizi scenario za kipuuzi.
Unasubiri uambiwe? 😁Wadau naomba ushauri wenu.