SAMORE
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 400
- 540
mimi nlkua nachat na mwanamke wangu tunafanya kazi sehemu moja na tumetoka kuinana muda si mrefu mara ghafla akawa kimya sms hajibu nkapiga simu ikapokelewa na mwanaume like anamwambia bibie ongea..Hakuongea kitu nilijarbu kumpgia simu mara kadhaa haikupokelewa tena hadi baada ya kupita saa moja kasoro.
Akanitafuta yeye akidai kuwa alichomolewa simu kwenye daladala ikabd nmuelekezi mahali nilipo akanifuata nikachukua ile simu na kukaa nayo kwa muda wa siku mbili sikupata majibu nlotarajia kwamba may be kuna mtu atamtafuta.
still tupo kweny mahusiano lkn now namega kisela tu sina future nae coz kuna alert imeshagonga akilin mwangu