Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #101
Ulikua mdogo mkuu hivyo hata ile hard yake haikua kiivyo..aloooh,,kwa mara ya kwanza ilinpata nkiwa la tano,tena ilikua jumatano tunawahi kurud kufua, nkasema nptie choon kwanz,yaliyonkuta aseeee,,toka saa saba nilfka nyumbani saa kumi😰.
Kwaio siogopi kitu 😂
Yaaan mkuu kuna mda unafika kitu kipo kati ndani hakiendi nje hakiendi..ni hii hii kunia au ulpatwa na ka ugonjwa ka moyo
ikaja ikarudia tena 2019 hii ndo nilkuja kukaa sawa 2020 kwa dawa fulani iv,,tena 2021 hii nayo niltafta mnyonyo ndo had saiv,,weeee n sugu mm saiv😄😄Ulikua mdogo mkuu hivyo hata ile hard yake haikua kiivyo..
Ila ushauri tuu usije kula ngano dry
Mkuu bila kupepesa macho wala maneno ..Tuambie clearly tukuelewe
Hapana, sijawahi kupitia hiyo adha ila nimesoma mambo ya vyakula na ustawi wa mwili na nikajifanyia mwenyewe majaribio nikapata majibuMkuu bora wewe unakuja na kunishauri vyema kabisa...nadhani ni muhanga au ukiwahi pitia hili varangati
unaongea nini m nilkua naingiza hadi kidole kuchokonoa🤮🤮🤮🤮kanaanguka kamoja kamoja kama ka mbuzi😂😂😂ukisema usimame ulirudshe ndani aseeeee lazma ulieYaaan mkuu kuna mda unafika kitu kipo kati ndani hakiendi nje hakiendi..
Hakikatiki imagine
Daaah shukran mkuu wangu..Hapana, sijawahi kupitia hiyo adha ila nimesoma mambo ya vyakula na ustawi wa mwili na nikajifanyia mwenyewe majaribio nikapata majibu
Hivi mikate aliyowalisha Yesu wale makutano ilikuwa ya zao gani?Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Kheeeee wewe...unaongea nini m nilkua naingiza hadi kidole kuchokonoa🤮🤮🤮🤮kanaanguka kamoja kamoja kama ka mbuzi😂😂😂ukisema usimame ulirudshe ndani aseeeee lazma ulie
😥unaongea nini m nilkua naingiza hadi kidole kuchokonoa🤮🤮🤮🤮kanaanguka kamoja kamoja kama ka mbuzi😂😂😂ukisema usimame ulirudshe ndani aseeeee lazma ulie
Ile ni pure ngano sio kama hizi ambazo wanatupa sisi ili zitu adabishe choonuHivi mikate aliyowalisha Yesu wale makutano ilikuwa ya zao gani?
We nawe,,kamwambie hata ndugu ako anashida na alishawahi tumia,, ingawa mm hua nasema tu directNime screenshot toka mda ushauri wako na hii dawa mkuu asante sana..
Hi dawa kwani inatibu nn staki nifike pale yule mdada wa famasi aanze kujiuliza maswali ya ajabu mana nafahamiana nae
Ndugu tena... Hii inaishiaa humu humu jf basiWe nawe,,kamwambie hata ndugu ako anashida na alishawahi tumia,, ingawa mm hua nasema tu direct
Hio ya la tano,kuna ndizi fulani ivi ukila tulikua tunaziita funga choo,sasa mama akanambia m nkasema ndo safi nakula nisiwe naenda chooni 😄kilichonkuta niljuta🙌🏾Kheeeee wewe...
Eeeeeh ebu kwanza anza mwanzo wee ulikua unakula nini
Yaan ukifka duka la dawa,, mwambie mtoa huduma ndugu ako ndo mgonjwa na sio wewe,,sjui umeelewa!?Ndugu tena... Hii inaishiaa humu humu jf basi
Jana nisu nikate moto mkuuNdoman nakwambia mm siogopi kabisa yan
yani wewe kila kona upo
acha kudeka nawewe last bornJana nisu nikate moto mkuu
Nideke mtu mzima mkuu..acha kudeka nawewe last born