Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

As
Wakuu habari za mda huu.

Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.

Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.

Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.

Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.

Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.

1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)

2- kunywa maji ya kutosha

3- Ukihisi haja nenda mda huo huo

Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.

Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..

Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)

Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.

Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe majiA

Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Asee pole sana kaka hukumwambia Jerry akuletee kijiti kweli😀😀
 
Nnya inapokuwa ngumu, ili uweze kuitoa itakubidi utumie nguvu kubwa na sehemu ya haja kubwa huwa ni laini mno, kujeruhika huwa ni rahisi sana. Sio kuchanika msamba
Duuuh sawa sawa mkuu sema nashukuru mungu sijachanika..
Na hata ningechanika ingekua siri yangu...
images (11).jpeg
 
Skonzi kitu laini kabisa hivyo embu nenda Zanzibar hapo Kuna dude linaitwa boflo watu wanalipiga kavu kavu na wakati mwingine unalia na chips na maisha yanaendelea kama kawaida
 
Skonzi kitu laini kabisa hivyo embu nenda Zanzibar hapo Kuna dude linaitwa boflo watu wanalipiga kavu kavu na wakati mwili unalia na chips na maisha yanaendelea kama kawaida
Polo kwa hali ya jana ingekua wewe mda huu unazunguka pharmacy wallah naapa
 
Back
Top Bottom