Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #221
Mboga za majani sipendiMkuu ongeza hapo pia mboga mboga na juice ya asili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboga za majani sipendiMkuu ongeza hapo pia mboga mboga na juice ya asili
Hujachanika Mkuu? But Pole sanaa kamanda😊Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Siwahi kusikia mtu wa hivi , kunywa dawa za minyoo mkuuMboga za majani sipendi
Ile baking poda ya mandazi...Huko mbali angechukua baking soda akapaka hapo kwenye tundu hachukui hata dakika 3 😀😀
Kilikua kwenye process ya kutokaAlikuwa hapat choo Zaid ya saa moja hakitoki
Mmmmh kwa nini mkuuUnaweza ingia World Guinness Record
Juis ya ukwaju kwa mda ganiUna uhakika? choo dawa yake si juice ya ukwaju tu?
Wee mdada muuwaji wewe sasa baking soda ina kazi gani huku chiniUhakika Sina ila ndo nilivoelewa
Focussawa alia ila nimekupenda sana kusema kweli..
Unaombea wenzako mambo ya ajabu mkuuSio pepo ni sayansi
Acha maneno yako ya ajabu..Hujachanika Mkuu? But Pole sanaa kamanda😊
Mkuu ishu ni mikate na skonzi ....Siwahi kusikia mtu wa hivi , kunywa dawa za minyoo mkuu
Kunywa maji mengi, pia usisahau kula na matunda.Acha maneno yako ya ajabu..
Sijachanika... Unazani kuchanika ni rahisi hivyo acha zako ww
Mafuta yanalainisha gogo na njia ila sabun inavurga kabisa unaharisha apo apoMkuu yale mafuta yanalainisha gogo au yanafanya njia iwe smooth...
Maana hapo kuna vtu unachanganya
Jana lilitaka kufa jituHatari na nusu...
Hayo ndio maneno mkuu wanguKunywa maji mengi, pia usisahau kula na matunda.
Mkuu kuna ishu ujajua bado...Mafuta yanalainisha gogo na njia ila sabun inavurga kabisa unaharisha apo apo