Saa sita usiku akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja

Askarimaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2016
Posts
269
Reaction score
651
Alikuwa ni mpenzi wangu, dem wangu, nilimpenda sana kwa ghafla, nilipoanza nae mahusiano muda mchache tu nikaanza kupanga plan nyingi za kutimiza nae malengo fulani katika maisha,
Nikaanza kuwa na mawazo ya kutamani awe mke wangu siku moja, nikaanza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki zangu wale muhimu.
Nikaenda kwa mama yangu mzazi nikamwambia kuna binti nitamleta kwako siku si nyingi, nafikili anafaa kuwa mke wangu siku chache zijazo, mama akaniambia mlete nimuone mwanangu.
Kabla siku ya kumpeleka kwa mama kufika, ikafika siku moja ambayo sinto isahau,
Iyo siku nilimpigia simu mida ya saa tano usiku na kuongea nae kwenye simu kwa muda wa lisaa lizima, haikuwa kawaida kuongea nae usiku kwa muda mrefu maana kila siku nilikuwa napata muda wa kukaa nae sehemu jirani na kwao tunakaa tunapiga story kwa masaa mawili au limoja then tunaachana naenda zangu home kwangu, yale mambo muhimu yote huwa naongea nae muda huo, ikatokea kama dharula siku ile nikawa na jambo la kuongea nae kwenye simu kwa muda mrefu sana,
Basi bwana kilichotokea siku iyo kiliuumiza moyo wangu kwa kiasi kikubwa na ghafla nikasitisha kila kitu nilichokipanga juu yake, nikasitisha na mahusiano pia tangia siku ile,
Ni pale aliponiambia baby please naomba ukate simu mara moja kuna mtu anapiga then nitakuchek😭😭💔🙄
Saa sita usiku🙄mtu muhimu kushinda mimi anakupigia simu mie nikate😳
Unakaa kwenu kwa wazazi wako, mtu muhimu kushinda mie ni baba yako na mama yako.... Lakini hao unakaa nao nyumbani kwenu,
Nikasema sasa ngoja nianze kumchunguza kwa kina uyu binti kabla sijaingia mkenge, nikaanzisha ratiba ya kumpigia simu usiku saa tano mpaka sita, simu za mara kwa mara kila siku, Nilichokikuta binti simu yake ilikuwa inatumika sana nyakati hizo za usiku,
Kwangu ikawa sababu tosha kabisa kuachana nae pia nikamshukuru mungu kwa kunionyesha ile picha mapema, maana mbali na vile nilikuwa nataka kuoa mpenzi wa mtu kizembe kabisa yan😕
Saa sita usiku🙄Akaniambia kata simu kuna mtu ananipigia mara moja😭

Mtu wa muhimu alikua akipiga 😊😅
 
Nimejifunza kuwa wanawake usipokuwa na hela wanakudharau.
Ngoja nikuulize swali... Unahisi kipi kinaleta dharau zaidi.... Kati ya kutokuwa na pesa kwa mpenzi wako au kushindwa kumpelekea moto kisawasawa?
 
Back
Top Bottom