Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Huu ndio unaitwa " Usela ma***"..., tabia ya hovyo sana hii.
 
Kazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue

Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara
Wazazi wako na waalim wako walipata shida sana kulea mtu asiyeweza kusoma na kuelewa ati.
 
Ni kweli alikosea. Unajua vijana wengi wakipata pesa wakiwa na umri mdogo umakini hupungua. Ndio maana wengi wanafirisika.

Yeye hakutoa mali kwa kupenda kulikuwa na vitisho huu ya usalama wake.

Na suala la kukubali kuchukua tu hiyo 22.5m ni sababu alipoenda kufungua kesi askari alikataa kuendelea nayo kuwa itamrudia Saalah. Kiufupi anahitaji msaada zaidi hata wa kurecover pesa zake toka kwa huyo Pius na baba yake mdogo ambaye hakuwa baba mzuri wa kumshauri mwanae.

Leo unamuibia mtu na hizo pesa hazitakuwa na baraka
 
Boda boda ni matajiri, hawawezi iba simu. Wanapata 800,000 kwa mwezi, wana maisha mazuri kuliko watumishi walimu
 
Huu ukweli mchungu Sanaa,
 
kuna wakati wabongo tuache unyonge, ukionewa, nawewe mtafutie gap malizana naye kibabe hata ukienda jela unakuwa umeacha msiba kwao...

JIfunze kushika gun na kupiga, kodisha au nunua chuma, mvizie malizana naye kiroho safi.... wengine watajifunza na kuacha uonevu..

Huyu unakwenda hata kuswali naye msikitini akiwa amefunga zake swala naye unamtanguliza, inakuwa imeisha hiyo.
 
Kuna wakati hizi serikali za KiAfrica hazina msaada hasa kwenye hizi kesi na matajiri, nafikiri mmeona majibu ya mkuu wa kituo.

Jibu sahihi ni raia wenyewe kukataa unyonge na kujichukulia sheria mkononi dhidi ya pumbavu kama hizi.
 
Salaah yupo sahihi 💯 hayo maswala Kwa wanaharakati wa kitaa hyo kubinyana pumbu mbona kawaida Sana , kuhusu kutakatisha fedha hyo ni ujanja wa salaah na ujinga Kwa serikali , serikali hawajui majukumu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…