nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #301
Asaalam Alekyum. Niko buheri wa afya.Nasubiri mtoa mada atusalimie pakikucha hapa JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asaalam Alekyum. Niko buheri wa afya.Nasubiri mtoa mada atusalimie pakikucha hapa JF
Huu ndio unaitwa " Usela ma***"..., tabia ya hovyo sana hii.Uaminifu ni kitu ambacho sisi tumekuwa tukifeli
Mtaani kuna dogo anakibanda cha makuti anauza utumbo wa ng'ombe kipo eneo moja na parking ya bodaboda
Huyo dogo nimemshuhudia mara kibao akiwasaidia hao madereva bodaboda kuwapa utumbo for free na kuwachangia unga wawe wanapika kijiweni.
Lakini juzi dogo kaacha simu kwenye kibanda akaongozana na mteja kwenda kuomba chenji dukani.
Anarudi anashangaa simu haipo, kila bodaboda aliyekuwa pale akiulizwa anakataa anasema sio mimi.
Kumbe wao ndio wamechukua simu halafu wakawa wanataka dogo awape 15K ndio wamrudishie.
Dogo ikabidi atoe hiyo 15K kwasababu ndio simu anayotegemea kufanya request ya mzigo kwenye biashara yake.
Mtaji wa biashara hata 40K haufiki, fikiria faida ni kiasi gani halafu muda huo 15K imetolewa nje ya hesabu ku-rescue simu.
Baada ya siku mbili kupita Brother mmoja ndio alijitokeza kuwakemea wale bodaboda na kunyang'anya simu ya mmoja wao na kusema hairudishi mpaka wamrudishie dogo 15K yake.
Ndio hapo wakairudisha 15K
Wazazi wako na waalim wako walipata shida sana kulea mtu asiyeweza kusoma na kuelewa ati.Kazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue
Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara

Eliud ndio aliyeandika hapa?Eliud ni mwizi,mbona hasemi kiasi Cha pesa anacho daiwa,punguzeni chuki kwa matajiri,uaminifu ulikuwa mdogo sana,umeaminiwa aminika
RB sio inayofungua kesi, ukienda toa taarifa polisi lazima wataiandikia RBRB wakati kesi hazikufunguliwa??
Ni kweli alikosea. Unajua vijana wengi wakipata pesa wakiwa na umri mdogo umakini hupungua. Ndio maana wengi wanafirisika.Hadithi yako ni nzuri ila Ina walakini...
Huyu Eliud ni mfanya biashara kweli ? mbona ni mzembe sana watu wameiba mpaka wakajenga na kuagiza magari yeye yupo tu?
Ilikuaje Eliud akakubali kulipwa mil. 22 huku dukani kukiwa na upotevu wa mamilioni na akakubali kupokea?
Bado alikua na uwezo wa kumbana Pius kuwa duka lilikua chini yake na upotevu ulotokea lazima uwe juu yake yaani mtu anakubali eti aliiba mil.22 tu na huku dukani kuna loss ya mamilioni ya hela ? ( Yaani mtu amekiri kosa la wizi lakini kajichagulia kiasi alichoiba😂😂😂)
Inakuaje Eliud anakabidhi mali kwa boss wa silent ocean wakati yeye anadaiwa pesa ? Kwanini asingefanya mchakato wa kuuza mali zake na akalipe hilo deni kuliko hiki alichokifanya?
Boda boda ni matajiri, hawawezi iba simu. Wanapata 800,000 kwa mwezi, wana maisha mazuri kuliko watumishi walimuUaminifu ni kitu ambacho sisi tumekuwa tukifeli
Mtaani kuna dogo anakibanda cha makuti anauza utumbo wa ng'ombe kipo eneo moja na parking ya bodaboda
Huyo dogo nimemshuhudia mara kibao akiwasaidia hao madereva bodaboda kuwapa utumbo for free na kuwachangia unga wawe wanapika kijiweni.
Lakini juzi dogo kaacha simu kwenye kibanda akaongozana na mteja kwenda kuomba chenji dukani.
Anarudi anashangaa simu haipo, kila bodaboda aliyekuwa pale akiulizwa anakataa anasema sio mimi.
Kumbe wao ndio wamechukua simu halafu wakawa wanataka dogo awape 15K ndio wamrudishie.
Dogo ikabidi atoe hiyo 15K kwasababu ndio simu anayotegemea kufanya request ya mzigo kwenye biashara yake.
Mtaji wa biashara hata 40K haufiki, fikiria faida ni kiasi gani halafu muda huo 15K imetolewa nje ya hesabu ku-rescue simu.
Baada ya siku mbili kupita Brother mmoja ndio alijitokeza kuwakemea wale bodaboda na kunyang'anya simu ya mmoja wao na kusema hairudishi mpaka wamrudishie dogo 15K yake.
Ndio hapo wakairudisha 15K
Unaweza kweli au tunakaushana mate tuu hapa.kama unafahamu jina la mama yake salaah nipe pia na jina lake salah halisi
Kwamba zaidi ya milioni 100 zinapotea mwenye mali hajui?Alienunua nyumba na vogue sio yeye, ni kijana wake dukani baada ya kumuibia.
Huu ukweli mchungu Sanaa,Saalah yuko sawa. Huyu ni mfanyabiashara na biashara zina principle zake. Kamwe usiruhusu senti yako ktk biashara ipotee kizembe. Asitokee yeyote akusababishie hasara ktk biashara yako, huyu ni wa kuua tu ili usionekane unaingilika kirahisi. Jitahidi kukwepa kodi kadri inavyowezekana. Jenga urafiki na wenye mamlaka na vyombo vyenye mamlaka.
Ukitimiza haya utatoboa tu.
Hapo ndo walakini wa hii story ulipoKwamba zaidi ya milioni 100 zinapotea mwenye mali hajui?
Salaah yupo sahihi 💯 hayo maswala Kwa wanaharakati wa kitaa hyo kubinyana pumbu mbona kawaida Sana , kuhusu kutakatisha fedha hyo ni ujanja wa salaah na ujinga Kwa serikali , serikali hawajui majukumu yaoWatu wachache sana wameliona hilo swala kwa namna ulivyoliona, na hio ndo maana ya Great Thinker.
Yaan upoteze mamilion kipuuzi tu na wakati ushaambiwa utafute mwasibu ila unazubaa zubaa. Hii story hata bila kusikia upande wa Salaah mie naona salaah alikua na justification ya actions alizochukua mambo ya sheria yatakuja baadae. Wanaomtetea huyu eliud na pius hawajua uchungu wa kutafuta hela kwa kujiajiri, wengi ni waajiriwa tu wanasubiri kulipwa mwisho wa mwezi, ila mjasiriamali anaepambana na ku-take risks za hatari ukiachia hadi kutoa kafara basi atamuelewa salaah vzr tu.