Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Pmj na kwamba Nina chuki binafsi na silent ocean


Ila ktk hili saalah Hana kosa lolote Basi tu mnamnanga kwa kuwa Ni mafya wa biashara za kariakoo

Eliud na Pius Ni wapuuzi wa kiwango Cha sgr walipazwa wafilisiwe kbsa had na wake zao saalah awamiliki kbsa kwa upuuzi waliomfanyia Salah. mtu mnakwenda kununua gari na kujenga kwa pesa za watu Ni ujinga huo ulio tukuka

Baada ya kutafakar na kuona jinsi swala hili lilivyo ten umewasilisha in detail Ni kwamba salah Hana kosa jamaa walipe pesa zake ovaa

Otherwise wale wakinga wamshirikishe ndugu yao bwana msigwa msemaji wa serekali awatete,period

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ukipiga flat rate ya Kodi Kwa mwaka kila mfanya biashara mwenye frame nchi nzima wapatao milion moja tuu Kwa Kodi ya laki mbili tuu Kwa mwaka , mapato ni trillion 20 , nje ya PAYE, viwanda , na tozo za bandari , airport , vivuko , viwanda na halmashauri ...!!
 
Shidaa ni rushwaa mfumo mbovu
 
PIUS kacheza kama pele sema ELIUD kukubali mil 22 akabaki mwenyewe kwenye msalaa ndo UPUMBAVU aliofanyaa yani huu mziki hakutakiwa kuucheza yeye... mziki ni wa pius huu na pia eliud alikubali vipi kupewa mtaji wa hela zote hizo kwa mkopo bila kuwa na ACCOUNTANT yani popote penye share kubwa kama hizi lazima awepo mtu wa kucontrol movement ya hizo hela lasivyoo you are in for it. Sala alijichanganya nae maana zile hela hazikuwa za eliud zote so kimeumana TAJIRI ANATAKA CHAKE mil 500 kuzirudisha si mchezo.
 
Watanzania hatubebeki watu wanaangalia upande moja Salaah alikuwa na nia nzuri na Eliud hadi anamshauri atafute mhasibu bado jamaa akawa Mzembe na pesa nyingi ikapotea acha apate yaliyompata, kwanza mi nachukia sana madalali mi kuna watu nilikuwa nawapa kazi anapata laki mpaka laki 2 na bado wakakimbia na hela ya kazi wakaenda kunywea ningekuwa na uwezo kama wa Salaah ningewapasua mapumbu kabisa mnamchafua tu Saalaah jamaa kapata anachostahili, Salaah angempeleka polisi asingeweza kurecover cost zake ingekuwa story tu siku zinaenda acha arudi kwenye umaskini akili ikae sawa
 
**USALAMA WA TAIFA NA POLICE ni kwaajili ya CHADEMA.
 
Kazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue

Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara
Ndio maana mnafeli mitihani


Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.


Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills
 
Ndio maana mnafeli mitihani


Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.


Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills
Wakati wakiingia makubaliano mwanzoni, walitakiwa waingie kisheria (kinyaraka).
 
Wanamchafua tuu salaaah , Kwa maelezo ya mtoa mada the guy was right to punish heavily such kind of pumpkin
 
Sawa vipi na kodi wanayo ikwepa na kutakatisha hela? Bado unasema wana nia nzuri na hii nchi.
 
Wanamchafua tuu salaaah , Kwa maelezo ya mtoa mada the guy was right to punish heavily such kind of pumpkin
Hamna mtu mwenye akili atasikiliza upuuzi wao. Na kama umesoma vzr huyu aloleta mada anakwepa kusema huyo Eliud alipoteza kiasi gani cha fedha. Na kumbuka fedhahuwa iko kwenye flow daily, ww unapoitoa kwenye flow ya mwenzio lazima umpe interest, sasa ukipiga hela alopoteza plus interest yake unaweza kuta hata hizo mali hazijafidia. Kelele za masikini wa mitandaoni hata siku moja hazimbabaishi mtu anaejielewa. Ni kawaida kwa masikini kumchukia tajiri toka januari trh 1 mwaka 0001.

Huwa sipendi upuuzi kabisa kwenye swala la biashara zangu, angekutana na mimi angenichukia yy na vizazi vyake viwili vijavyo
 
Ndio maana mnafeli mitihani


Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.


Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills
We jamaa unazijua Hz mambo kweli , kitendo cha Salaah kurudisha hela kitatengeneza ushahidi wa hii skendo mana jamaa ashaanza kutapa tapa mara polisi sjui wapi, yeye aliamua kuimaliza kibabe ,..... Amesaidiwa kujua mwizi wa hela angeongea na salaah vziru amsaidie ili huyo kenge aliyekula hela atapike mtonyo wote , badala yake akakimbilia polisi , huko siyoo , hzi issue mnamalizana kimya kimya , polisi mtaanza upelelezi wa kijinga mwisho jamaa atorokee Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…