Hii familia ni ya kijinga Sana ukitaka pesa kwao wewe waseme kama mwana habari basi utaingizwa kwenye payroll Yao.Mbona alikuwa anawasema sana kuna kipindi ,ashawasema sana labda pesa hubadili watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii familia ni ya kijinga Sana ukitaka pesa kwao wewe waseme kama mwana habari basi utaingizwa kwenye payroll Yao.Mbona alikuwa anawasema sana kuna kipindi ,ashawasema sana labda pesa hubadili watu
Ukitumia ubabe kuharibu utu wa mtu wakati unadai kibabe R...... ya kichwa then unalazwa kwenye kitanda cha baridi.Kweli tembea uone haya mambo kawaida mno. Dunia hata mm ukicheza na senti zangu nacheza n ww.
wewe jina hapa baada ya miezi mitatu fufua hii threadUnaweza kweli au tunakaushana mate tuu hapa.
Hii nchi ukipiga flat rate ya Kodi Kwa mwaka kila mfanya biashara mwenye frame nchi nzima wapatao milion moja tuu Kwa Kodi ya laki mbili tuu Kwa mwaka , mapato ni trillion 20 , nje ya PAYE, viwanda , na tozo za bandari , airport , vivuko , viwanda na halmashauri ...!!Mwendazake nilikuwa na mwelewa sana na ndio maana wapuuzi kama hawa alikuwa anadeal nao mwenyewe baada ya kupata ripoti kutoka TISS, muhimili wa mahakama hushaoza toka zamani enzi ya mzee wa Msoga.TISS nao tayari washafungwa mikono awamu hii ila hawa jamaa wanapiga kazi na wanaripoti ya kila kinacho endelea ,sema hawa waarabu wengi wanashare na wanasiasa wetu, haijalishi wa upinzani au wa serikalini na ndio maana vyombo vyetu vya dola hawawezi kudeal nao wanaishia kwa panya road basi,hao wakiwagusa dk sifuri simu ya kiongozi fulani.
Chuma walikuwa wanamzushia sana ila njia aliyo ichaguwa kudeal nao ilikuwa sawasawa,nchi kuna wapuuzi wana mambo ya kis#nges#nge sana bila kuwa katili zidi ya matendo yao ,wataendelea kuiharibu nchi na mama moyo huo hana,kudeal na Mafia inabidi uwe na moyo wa kikatili.
Nape alisema "acheni legacy yake ijitetee" ila kila mda unavyoenda ndivyo Chuma kinajizihirisha ubora wake. Hapo unajiuliza kuna kampuni ngapi zinakwepa kodi kama wafanyavyo Silent na huyo mwaarabu anaye agiza mbolea.Tanzania makusanyo kwa mwezi yalikiwa hazidi 1tr,ila alivyo ingia chuma mpaka aanaondoka zilifikia mpaka 2tr sababu alikuwa hacheki nao hawa wapuuzi.
Shidaa ni rushwaa mfumo mbovuIla hapo kwenye black market. Pamenyooka mno.
TRA wanaweza fanya back tracing ya baadhi tu ya wafanyabiashara kuona uhalisia wake. Hapa kuna kodi kubwa sana inakwepwa.
BOT pia wakiwa wasimamizi wa fedha, hii ni rahisi sana kuithibisha.
Nchi inaupungufu wa dola, huko benki tunauziwa mwisho USD 3,000 hadi 5,000 kwa siku.
Kumbe kuna uhuni mkubwa unafanyika. Benki zinapambana na walalahoi kutafuta ukwasi, kumbe kuna mtu anabenki getoni kwake.
**USALAMA WA TAIFA NA POLICE ni kwaajili ya CHADEMA.Kama mtu anaweza kufanya unyama huu wa Kutesa watu ofisini kwake,wizi na kudhulumu watu,uhujumu uchumi na Uchafu wote huu,Hivi tuna usalama wa taifa wanaojielewa kweli?Tuna polisi kweli?
IGP anapaswa kubaki kwenye nafaasi take kweli?
Mheahimiwa Raisi, kwakuwa juzi umesema huwa unapitia hapa Jamii Forums,chukua hatua juu ya hili.
Hili ni tukio moja tu,Je amefanya mangapi ambayo hatujui?
Ukipitia ule Uzi wa kwanza utaona jinsi watu walivyofunguka juu ya Uhuni wa huyu mtu,mpaka analawiti watu?
Tunaaubiri tuone hatua gani utachukua.
Mleta Mada Mungu akulinde.
Ndio maana mnafeli mitihaniKazaminiwa hela ya biashara. Azungushe ili akuze mtaji. Kaenda nunua nyumba na vogue
Gsm walimpa hela wakijua akifanya vizuri kwenye biashara ataendelea kuwa mteja wao. Maana wao gsm wanahudumia wafanyabiashara
MmmmhSasa Salaah anaweza kutaifisha mali? au na wewe hujui maana ya kutaifisha, ?
Ni kweli**USALAMA WA TAIFA NA POLICE ni kwaajili ya CHADEMA.
Wakati wakiingia makubaliano mwanzoni, walitakiwa waingie kisheria (kinyaraka).Ndio maana mnafeli mitihani
Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.
Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills
Wanamchafua tuu salaaah , Kwa maelezo ya mtoa mada the guy was right to punish heavily such kind of pumpkinWatanzania hatubebeki watu wanaangalia upande moja Salaah alikuwa na nia nzuri na Eliud hadi anamshauri atafute mhasibu bado jamaa akawa Mzembe na pesa nyingi ikapotea acha apate yaliyompata, kwanza mi nachukia sana madalali mi kuna watu nilikuwa nawapa kazi anapata laki mpaka laki 2 na bado wakakimbia na hela ya kazi wakaenda kunywea ningekuwa na uwezo kama wa Salaah ningewapasua mapumbu kabisa mnamchafua tu Saalaah jamaa kapata anachostahili, Salaah angempeleka polisi asingeweza kurecover cost zake ingekuwa story tu siku zinaenda acha arudi kwenye umaskini akili ikae sawa
Sawa vipi na kodi wanayo ikwepa na kutakatisha hela? Bado unasema wana nia nzuri na hii nchi.Watanzania hatubebeki watu wanaangalia upande moja Salaah alikuwa na nia nzuri na Eliud hadi anamshauri atafute mhasibu bado jamaa akawa Mzembe na pesa nyingi ikapotea acha apate yaliyompata, kwanza mi nachukia sana madalali mi kuna watu nilikuwa nawapa kazi anapata laki mpaka laki 2 na bado wakakimbia na hela ya kazi wakaenda kunywea ningekuwa na uwezo kama wa Salaah ningewapasua mapumbu kabisa mnamchafua tu Saalaah jamaa kapata anachostahili, Salaah angempeleka polisi asingeweza kurecover cost zake ingekuwa story tu siku zinaenda acha arudi kwenye umaskini akili ikae sawa
Hamna mtu mwenye akili atasikiliza upuuzi wao. Na kama umesoma vzr huyu aloleta mada anakwepa kusema huyo Eliud alipoteza kiasi gani cha fedha. Na kumbuka fedhahuwa iko kwenye flow daily, ww unapoitoa kwenye flow ya mwenzio lazima umpe interest, sasa ukipiga hela alopoteza plus interest yake unaweza kuta hata hizo mali hazijafidia. Kelele za masikini wa mitandaoni hata siku moja hazimbabaishi mtu anaejielewa. Ni kawaida kwa masikini kumchukia tajiri toka januari trh 1 mwaka 0001.Wanamchafua tuu salaaah , Kwa maelezo ya mtoa mada the guy was right to punish heavily such kind of pumpkin
We jamaa unazijua Hz mambo kweli , kitendo cha Salaah kurudisha hela kitatengeneza ushahidi wa hii skendo mana jamaa ashaanza kutapa tapa mara polisi sjui wapi, yeye aliamua kuimaliza kibabe ,..... Amesaidiwa kujua mwizi wa hela angeongea na salaah vziru amsaidie ili huyo kenge aliyekula hela atapike mtonyo wote , badala yake akakimbilia polisi , huko siyoo , hzi issue mnamalizana kimya kimya , polisi mtaanza upelelezi wa kijinga mwisho jamaa atorokee BurundiNdio maana mnafeli mitihani
Point hapa jamaa hajakataa kurudisha hela ya Huyo Salaah Ila huyo salaah amechukua hela yote Hadi mtaji aliomkuta nao akiwa na biashara ya Kufanya miamala.
Muwe mnasoma vitu with Comprehension skills