Salah mtata tokea akiwa anasoma St Mary's,waulizeni waliyosoma naye"Tajiri mtata kama Salaaah"- MwanaFa
Naomba Hamisi Mwinjuma atafutwe aelezee alikuwa anamaanisha nini
dogo ajui kula na kipofu,kawa karibu na mtu mwenye pesa tena kamkubali akampa maisha bahati mbaya ukajikwaa,angekaa nae chini wayajenge yaishe,badala yake anamvimbia.unamvimbiaje mtu ushamtia hasara man.Kbsa mm Niko na salah kwa mujibu wa mleta taarifa cjaona kosa lolote kwa salah Tena kawa muungwana kbsa alipaswa arudishe Kila kitu Hadi misitu ya kwao uko ataifishe
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuuu ulisoma nae kwani au 🤔
Form 6 kamaliza mwaka ganiNdio. Shule moja. Ila madarasa tulikuwa tofauti.
Form 6 kamaliza mwaka gani
Ok hivyo o level alimaliza 2006 sioKipindi tunasoma wote tulikuwa o level.
Sizani kama kasoma A level.
Waarabu na wahindi huwa hawafati mfumo wa A level. Maana wana biashara zao za familia.
Mtu akimaliza o level tu anapelekwa chuo then anaingia kwenye biashara zao za familia
Mpwayungu ni wa kupiga marungu yule 🤣🤣🤣Mpwayungu aliuliza siku moja,Hawa madogo pesa wanatoa wapi?
500mil bila picha za passpt wala muhuri wa mtendaji wa mtaa 😁hivi kumbe kuna watu wanapata mikopo mpaka ya milioni 500 kirahisi rahisi tu? Dah Jamani tunaomba connection na sisi.
Ok hivyo o level alimaliza 2006 sio
Ok sawasawaNdio kati ya 2006 ama 2005. Sina kumbu kumbu nzuri maana hatukuwa darasa moja
pale k,koo unakopa hadi 1 bilion ukizingua watu wanakula sahani moja na wewe500mil bila picha za passpt wala muhuri wa mtendaji wa mtaa [emoji16]
Biznz ya namna hio ni hatari sana inahitaji nidhamu ya hali ya juu la sivyo utashukiwa na kitu usijue kimetoka upande ganpale k,koo unakopa hadi 1 bilion ukizingua watu wanakula sahani moja na wewe
Somo hapo kwa sisi wengine makubaliano ya ‘mali kauli’ ukipoteza mzigo/asset uliyoaminiwa nayo elewa utailipa tu. Na hilo wala sio jambo la siri.
Kwenda kulialia polisi ni utoto tu ndio maana kuna watu biashara zingine au makubaliano mengine huwa wanayakwepa kwa sababu ya consequences zake. Maana hiyo mali uliyokubali ipokea uporwe na risasi au polisi wataifishe elewa utailipa tu that is the canon law.
Eliud alijua jamaa fala atamchezea michezo ya utoto kisa alikuwa mcheshi kwake (ndio ubwege wa watanzania wengi kupenda ku underestimate watu wasio wajua vizuri).
Mjomba watu kama hao poteza mali yao wakubadilikie kama ni biashara haramu utaelewa kumbe nyuma ya mafanikio yao kuna ukatili mkubwa sana.
Ili liwe somo kwetu wengine hakuna kitu rahisi, usifanye mzaha kwenye mali za watu na usijiingize kwenye makubaliano ambayo hujui rules of engagements.
Eliud alimchukulia Salah poa hilo ndio tatizo na liwe somo kwa wengine; achana na maelewano yoyote ya mali kauli kama hujui athari zake mzigo ukipote

Hamna kesi hapo,, ushahidi hafifu sana, hearsay...Akili yangu inaniambia aliyeandika huu uzi ni ELIUD himself