Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kwa hiyo utakatishaji pesa na ukwepaji wa kodi kwako unaona sawa? Au unaishi Burundi.
Hilo Ni Jambo lingine ila apewe chake acheni kumzingizia ujinga huo na kumuingiza katk tawala za nchi hii

Ni vyema Sana kina eliud na Pius wamrejeshee salaa pesa zake shenz tyupi

Nina kwerwa Sana na wizi wa namna hyo mtu unatumia pesa za watu kujengea na kununa magari wakt Ni pesa za Kaz za watu uninga huo

Hili limetoka Arusha dhid ya tajiri Moses na kijana anaitwa kanu ,imefanan Kila kitu

Embu mpeni salaaa pesa zake acheni uchawi wenu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HUYU AMEIWEKA SEREKALI YA CCM MFUKONI MWAKE!, SHAME SHAME SHAME!
Matajiri wote usicheze na hela yake braza,, 😂
Shutuma ya money laundry sioni mantiki yake, mfanyabishara anakusanya pesa kununua mzigo nje, lazima akutajie rate ya exchange ili umpe pesa ya kutoshea kununua bidhaa, bila kufanya hivyo atafanyaje biashara?.
Kufanya money transfer kimataifa atafanya pale akiona pesa imetoshea na hahitaji kuita kijiji kizima kije kushuhudia kwamba sasa anafanya international money transfer🤷🏾‍♂️
 
Pmj na kwa mm Dr Nimewai lalamika juu ya kampuni hi kuwapeleka kina manara nnje ila kwa hili walilolifanya kina Pius na eliud Ni ujinga walipe pesa za watu uchawi hautafanya Kaz kwa mwenye haki

Nasemaje salah apewe chake kilichofanyika na kina Pius na eliud Ni uswaswa Ni upuuzi ,Ni umavi wa Hali ya juu Sana walipe ikishindikana taifisha Hadi misitu Yao shenz zao wapuuz wakubwa, unakwenda kununua Vogue kwa pesa za watu za wizi ingekuwa mm nawafilisi Hadi Hadi nyumba zao za kuishi

Hili Jambo nalifananisha na kisa ambacho mm binafs ilinitokea na kujirudia Mara mbili lzm

Nasemaje pesa zilipwe na Wala Mia isirudi kwa hao wapuuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
So kutakatisha hela na kukwepa kodi sawa?

Hii nchi tuna safari ndefu ,yaani hujui madhara ya kutakatisha fedha na ukwepaji kodi.
 
Salaah alitakiwa awanyonye mavi hao wakinga wawili , shenzi kabisa , kuhusu kutakatisha fedha li nchi lishajifia hili , hata mi nikipata gap natakatisha tuu fresh
Exactly mm wakt mwingine nakuelewa Sana ,wajinga Sana Pius na eliud ingekuwa n mm Sala Hadi misitu Yao nataifisha Kila kitu Hadi kuku wa mama Yao shenz zao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma story, kama ni ya kweli. Sioni makosa ya Silent Ocean hapa wala ya Salaah based on this story. Infact, to the contrary, naona huyo Salaah amemsaidia Eliud kujua mwizi wake ni nani. Na huyo Eliud alikuwa wapi mpaka anaibiwa kiasi hicho cha pesa na mali bila kushtuka? Na alikataa ushauri wa Salaah Arudishe tu hela za watu. Pesa ni za biashara. Biashara haina rafiki. Eliud alipewa opportunity nzuri tu ya mtaji mkubwa. Kachezea shiling chooni. Eluid akomae na Pius na huyo baba yake mdogo warudishe mali zote walizomwibia.
 
Exactly mkuu ,salah yyuko sahih ,eliud na Pius Ni ma k walipazwa waahasiwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Exactly kbsa uko sahih ,tusiwaone wivu Hawa watu kisa etti wako karibu na mamlaka hapa wapewe haki zao zote jumla jumla siyo vvxr walicho. Fanya eliud na Pius naongea kwa hasira Sana kwa kuwa imenitokeaa hili Jambo Kama lao na kurudi nyuma sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Exactly mm wakt mwingine nakuelewa Sana ,wajinga Sana Pius na eliud ingekuwa n mm Sala Hadi misitu Yao nataifisha Kila kitu Hadi kuku wa mama Yao shenz zao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa😂
 
So kutakatisha hela na kukwepa kodi sawa?

Hii nchi tuna safari ndefu ,yaani hujui madhara ya kutakatisha fedha na ukwepaji kodi.
Hi hapa Uzi wangu juu ya silent ocean kwa michezo wanao fanya


Ila pmj na kwamba huwa sikubaliani nao I'll kwa hili la kina eliud na Pius hapana nitawatete wapewe pesa zao haraka Sana Ni upuuz wamefanya jinga hao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…