Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Hahaha [emoji28][emoji28]GSM ni Mafian Cartel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha [emoji28][emoji28]GSM ni Mafian Cartel
Ukiua kwa kulipiza na wewe ukamalizia maisha yako jela, hicho kisasi kimekufaidisha nini?
Bila kujali, pesa iliyozidi irudishwe, haki kwa hakiAkili yangu inaniambia aliyeandika huu uzi ni ELIUD himself
Hilo Ni Jambo lingine ila apewe chake acheni kumzingizia ujinga huo na kumuingiza katk tawala za nchi hiiKwa hiyo utakatishaji pesa na ukwepaji wa kodi kwako unaona sawa? Au unaishi Burundi.
Matajiri wote usicheze na hela yake braza,, 😂HUYU AMEIWEKA SEREKALI YA CCM MFUKONI MWAKE!, SHAME SHAME SHAME!
Achana na huyo tapeli anaoprint matishirt Hana huo uwezo WA kujuana na SalaahMkuuu ulisoma nae kwani au [emoji848]
Pmj na kwa mm Dr Nimewai lalamika juu ya kampuni hi kuwapeleka kina manara nnje ila kwa hili walilolifanya kina Pius na eliud Ni ujinga walipe pesa za watu uchawi hautafanya Kaz kwa mwenye hakidogo ajui kula na kipofu,kawa karibu na mtu mwenye pesa tena kamkubali akampa maisha bahati mbaya ukajikwaa,angekaa nae chini wayajenge yaishe,badala yake anamvimbia.unamvimbiaje mtu ushamtia hasara man.
wapo matajiri wapole wana utu,ukipata bahati ya kukutana nae mnayajenga anakupa maisha,ila,,ila usichezee mali,pesa au biashara zake atakuuwa malambili mzee.utakuuwa Duniani na mbinguni man.akuna malaika wala nabii atakae kusaidia mtu wangu.
So kutakatisha hela na kukwepa kodi sawa?Hilo Ni Jambo lingine ila apewe chake acheni kumzingizia ujinga huo na kumuingiza katk tawala za nchi hii
Ni vyema Sana kina eliud na Pius wamrejeshee salaa pesa zake shenz tyupi
Nina kwerwa Sana na wizi wa namna hyo mtu unatumia pesa za watu kujengea na kununa magari wakt Ni pesa za Kaz za watu uninga huo
Hili limetoka Arusha dhid ya tajiri Moses na kijana anaitwa kanu ,imefanan Kila kitu
Embu mpeni salaaa pesa zake acheni uchawi wenu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Exactly mm wakt mwingine nakuelewa Sana ,wajinga Sana Pius na eliud ingekuwa n mm Sala Hadi misitu Yao nataifisha Kila kitu Hadi kuku wa mama Yao shenz zaoSalaah alitakiwa awanyonye mavi hao wakinga wawili , shenzi kabisa , kuhusu kutakatisha fedha li nchi lishajifia hili , hata mi nikipata gap natakatisha tuu fresh
Hkn Ni kigog mmoja wa serekali hii bila kupepeza machoAkili yangu inaniambia aliyeandika huu uzi ni ELIUD himself
Exactly mkuu ,salah yyuko sahih ,eliud na Pius Ni ma k walipazwa waahasiweMatajiri wote usicheze na hela yake braza,, [emoji23]
Shutuma ya money laundry sioni mantiki yake, mfanyabishara anakusanya pesa kununua mzigo nje, lazima akutajie rate ya exchange ili umpe pesa ya kutoshea kununua bidhaa, bila kufanya hivyo atafanyaje biashara?.
Kufanya money transfer kimataifa atafanya pale akiona pesa imetoshea na hahitaji kuita kijiji kizima kije kushuhudia kwamba sasa anafanya international money transfer[emoji2377]
Exactly kbsa uko sahih ,tusiwaone wivu Hawa watu kisa etti wako karibu na mamlaka hapa wapewe haki zao zote jumla jumla siyo vvxr walicho. Fanya eliud na Pius naongea kwa hasira Sana kwa kuwa imenitokeaa hili Jambo Kama lao na kurudi nyuma sanaNimesoma story, kama ni ya kweli. Sioni makosa ya Silent Ocean hapa wala ya Salaah based on this story. Infact, to the contrary, naona huyo Salaah amemsaidia Eliud kujua mwizi wake ni nani. Na huyo Eliud alikuwa wapi mpaka anaibiwa kiasi hicho cha pesa na mali bila kushtuka? Na alikataa ushauri wa Salaah Arudishe tu hela za watu. Pesa ni za biashara. Biashara haina rafiki. Eliud alipewa opportunity nzuri tu ya mtaji mkubwa. Kachezea shiling chooni. Eluid akomae na Pius na huyo baba yake mdogo warudishe mali zote walizomwibia.
Bosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa😂Exactly mm wakt mwingine nakuelewa Sana ,wajinga Sana Pius na eliud ingekuwa n mm Sala Hadi misitu Yao nataifisha Kila kitu Hadi kuku wa mama Yao shenz zao
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nasemaje, nasemaje, pesa iliyozidi irudishweBosi wangu mmoja alikua hadi ma lokapu yake,, ukila hela yake, anakueka lokapu humo, mpaka ndugu zako watauza Ng'ombe, au nyumba kufidia deni ndo unatoka,, na kwasababu wanakua kweli wamekula pesa, walikua wanakua wapole na wanalipa😂
Hi hapa Uzi wangu juu ya silent ocean kwa michezo wanao fanyaSo kutakatisha hela na kukwepa kodi sawa?
Hii nchi tuna safari ndefu ,yaani hujui madhara ya kutakatisha fedha na ukwepaji kodi.