Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Jamaa kila siku wanabuni hekaya mpya kumchafua jpm lakini raia wala hawana habari.
Maghufuli ni icon , vita aliyopigana choko yyte hawezi tia maguu , katika mfumo uliooza aliamua kusimama yeye kama yeye , and he dies for , respect Sana...!! 🙏
 
Natoa wito kwa vyombo vya usalama kushughulikia na kuchunguza swala hili kuhakikisha ukweli unabainika na wahusika wanachukuliwa hatua.Nami nikiwa mmoja wa idara za usalama nalipokea swala hili na nitafikisha mahala panapostahili.
Ww uliyemwambia mama ajitafajari na kujiudhuru
 
Katika kesi ya hao jamaa hakuna la kumsaidia yeyote hapo kwani ni ndani na nje ya makubaliano ya biashara yao wenyewe ukiweka wazi juu ya uzembe wa jamaa aliyewekezewa pesa kwenye biashara yake na akaleta mzaha wa kumuamini kijana mwenzake kupelekea kupoteza kila kitu

Kikubwa, awe makini anapoinuka tena au anapoaminiwa na mtu mwingine kwa kuwekeza pesa kwako aongeze umakini zaidi asirudie kosa, na sikuona sababu yeyote ya kukubali kupewa au kukopeshwa pesa na huyo jamaa angeendelea na kazi yake ile ile ya MARKETING na ukusanyaji wa pesa ilikuwa inamtosha sana
 
Salute kubwa sana afande. Hakika wewe ni moja ya maafande werevu sana. Dawa ya huyu dada sarah mbona inafahamika ni tindikali? Wote tukipeana hii kazi ya kumtafuta tunampata..na hatumuui. Tunamnyang'anya tu haki ya kuona.
 
Tupe story ya awadh
 
Si akamdai piusi alieagiza vogi
 
Piusi si kakiri kuiba na ana nyumba kajenga kwa pesa za kuiba? Si ukamtemeshe Piusi?
 
Leo tupo pamoja acha hawa mbuzi waendelee kulialia
 
Safi mzee umetisha sana
 
Tuna pitia files kidogo kwa ajili ya reference

 
Vyombo vya ulinzi na.hasa jeshi la polisi ulinzi w raia na Mali zake umebaki jina ya mtu 1 na biashara yake kusafirisha mizigo pesa za kigeni zinatoroshwa kinyemela tuliowapa dhamana.ya kuangalia kwa niaba yeu watanzania mil 60 na ushee kinafaidika kikundi kichache hii so sw mukhari viongozi uweken pembeni wasaaidien ndugu zetu pesa zao pale kariako biashara iendelee Kama ujuavyo kariakoo ni soko.la.africa karibu nnchi zote zinazozunguka zipata nahitaji yake kariakoo hiyo kampun yao.sio.lazima iwepo hata huo uvaaji wa kanzu ni Kama unadhurumu watu walikuwa wanaendesha familia zao wewe unachua kiulain tu na kile kiapo viungozi unachopishwa na jaji Mara baada teuzi ni khitifaki tu ? Iko kufalia hili kwa maendeleo yetu sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…