Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Kesi ya madai kafungua lini mkuu? Ilitupiliwa mbali? Si aweke tu hata ikaratasi zote za kesi aliyofungua kama ni kweli maana tayari keshaamua kuweka jina lake wazi.
 
Kesi ya madai kafungua lini mkuu?
Umeshaambiwa ukijaribu kufanya kitu kama hicho utauwawa.., na mtu anaekwambia maneno hayo anauwezo huo na hashindwi kufanya hivyo maana wameshafanya hivyo huko nyuma, na unajua hata ukifanya hivyo utazungushwa, kutekwa na kuteswa na finally hata kuuwawa.., hivyo haweza kurisk maisha yake kwa kitu anachojua mwisho wake, hata kuja hapa pia amerisk maisha yake, lakini atleast akiuwawa this time tutajua nani amemuua, so its a safer option. Ila kwa waliojaribu hata kuripoti tu kuteswa kwao huko Yemen, kilichowakuta ni kama huyo jamaa hapo chini


Sasa kama ni uonevu tusiutetee, kama ni haki basi chenji irudishwe. 235mil. #Chenjiirudi
 
Oh mane! Are you kidding?
 
Oh mane! Are you kidding?
Not only am i not kidding, ila kwenda mahakamani pia ni futile, sababu Salha alitoa mkopo wa mtaji zaidi ya dollar laki 2 bila kuandikishana kisheria, maana yake huyo mtu anajiamini sana hadi kutoa pesa nyingi hivyo off the books, na kweli, hata pesa ilipungua, ameichukua off the books tena amechukua na ziada hadi ya mali zilizokuwa kwenye meli za wateja wengine, na ameweza kwa sababu kila kitu ni off the books, hivyo mahakamani hawawezi kusikiliza kesi isiyo na vielelezo.., na hata yeye alijua hawezi kwenda kudai pesa yake mahakamani bila vielelezo, alitumia tu mabavu.., Eliud yeye hana mabavu ya kudai chenji yake. Rudisheni chenji takriban 235mil, kwanini hamtaki kurudisha cheji?

#chenjiirudi
 
Hapo umenena mkuu! Now we on the ssme page bruh
 
Hapo umenena mkuu! Now we on the ssme page bruh
We’ve always been on the same page, you were just being difficult for the sake of it


Rudisheni chenji takriban 235mil, #chenjiirudi
 
You said it.
 
Mamlaka zimesikia
Mbona chenji haijarudishwa sasa

Jamaa anaconnection hadi ya kuweza kuwapa watu ubunge



Ukiangalia hii awamu ya 6 imebase upande gani, unaweza kuona hakuna kitu kinawezw kufanyika. Hapo utasema wanazindia msikiti na huyo Kinana



#Chenjiirudi
 
Kweli kabisa, naona Salaah kaonewa na Eliud, Eliud arudishe mali ya wizi.
 
Wanaonekana kama binadamu vile[emoji848] aisee!
 
Ushauri tu kwa jeshi la polisi kesi zilifunguliwa kituo Cha msimbazi na centol polisi zipelekwe mahakamani mahama iweze tends haki kwanini polisi wakisikiliza wao badala ya mahakama katika vituo vyote Kuna wakuu wa upelelezi inamaa hayo mafaili hizo kesi hajafika mezako kwanini wanamugopa huyo.salah inamana yeye Yuko juu Sheria za nnchi yetu polisi unatufelisha lipokuja swala la mtu mwenye wazfa kumfikisha kwenye vyombo vya Sheria,inasikitisha Sana hizi habari tunaposikia watu wanajitahidi kupambana na maisha yao ili waweze kumudu Hali ya maisha na familia zao anavyokea mtu 1 anatakuwaeudisha nyuma faida zake polisi anzeni kuchua hatua sio mpaka muanze chuchungwa kwanza Nani anampa jeuri huko selikalin kutesa watu kuwamiza ?
 
Nafsi inasuta, umebana weee, sasa umeachia.

Haya tueleze awamu ya sita "imebase upande gani"?
 
Kweli kabisa, naona Salaah kaonewa na Eliud, Eliud arudishe mali ya wizi.
Salha amechukua zaidi ya alichokiwa anadai , sasa kaonewa vipi? Chenji anayopsawa kurudisha ni 235mil, arudishe chenji. #chenjiirudi

 
Nafsibinasuta, umebana weee, sasa umeachia.

Haya tueleze awamu ya sita "imebase upande gani"?
Henu rusisheni chenji ya watu, #chenjiirudi

 
Salha amechukua zaidi ya alichokiwa anadai , sasa kaonewa vipi? Chenji anayopsawa kurudisha ni 235mil, arudishe chenji. #chenjiirudi
Ooh kumbe? Si uende wewe ukamchukulie chenji yake?

Haya tueleze awamu ya sita "imebase upande gani"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…