Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Ina maana Silent Ocean Wana kasiki la kuhifadhi zaidi ya Billion 5 cash?

Imagine kijana huyo anapeleka zaidi ya Million 400 daily, hao vijana wengine vipi?

Serikali inaruhusu mtu binafsi kukaa na kiasi hicho cha pesa?
Imagine,kipindi kile jiwe alimbana kakobe kutunza fedha kwenye madiaba,kumbe wapo wengi lol?
 
Kamsome Pablo Escobar Gaviria
 
Tatizo lipo; ila kwa akili ya kibinadamu mtu anaweza kuhoji, kwa nini hukutoa taarifa mapema, wakati black market ikifanyika (wakati ukiwa wewe ni mmoja wa wanufaika), na umekuja kutoa siri leo baada ya kuzinguana? Kwa ujumla, wote mna makosa.

Nb: Furaha unayoipata wakati wa uteuzi, uifurahie hivyo hivyo ata utakapotenguliwa.​
 
Sisi tumekula kiapo na kifo cha heshima ni sehemu ya kazi yetu. Kesho nisipoamka kama kweli majini yanaweza basi huu uzi utakuwa mchango wangu muhimu sana kwa Taifa langu maana sio wengi wanaoweza kusimamia Haki. I will die as a Happy man.

Asubuhi nikiamka nacomment basi jua Yes ana nguvu kuliko shetani.

Maana wakati naandaa huu uzi nilihakikisha nafanya maombi na kujikabidhi kwa Mungu na kuomba ulinzi wake maana najua hatari inayoweza kunikabiri kwa kusema ukweli huu.
 
Mh Samia ,najua unapitia JF ,yanayosemwa kuhusu uhusiano wa GSM/Salaah na Mzee wa Msoga unajulikana na pia wanasema kwamba Mzee wa Msoga ndiyo mshika remote ,nadhani unajua nataka kusema nini.

Nasemaje,ukiunganisha dot means wewe ndiyo unamlea huyo salaah ndiyo maana anaendelea kufanya upuuzi,kipindi cha JPM hao wapuuzi walikimbia na umeona hapa alinyang'wanya usd 750,000 za magendo! Najua una wasaidizi wako wengi ,haihitaji tochi ,salaah ni mafia ,mtafuteni eliud na pius wawape taarifa zote kisha mkishajiridhisha mkamateni salaah kwa makosa aliyoyafanya.

Hao familia ya kina GSM wanafanya mambo mengi sana ya ajabu ,wanatesa watu ,wana hujumu uchumi wa nchi ,serikali inakosa mapato kabisa ,k/kko ndiyo centre ya mapato lakini hapo hakuna kinachopatikana zaidi ya mapato ya kuwakamua wananchi kwenye PAYE na miamala.

Hongera sana Afande kwa kuongea ukweli ,alafu si taasis hiyo inayolinda hao mafisadi ,taasisi nying sana za serikali zinakula na hao wafanyabiashara wanaodhulumu wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…