Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Upumzike kwa amani JPM japo ulikuwa na madhaifu yako kama binadamu ila kwahakika hawa waarabu koko uliwanyoosha mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SidhaniHuu Uzi utawagawa watu Kii _usimba na u_yanga
Sasa si alibariki uuzwaji wa kiwanja hicho, GS wa chama asijue mali ya chama ya mamilion kama siyo maB iuzwe?Sio kwamba waliuziwa na CCM wakati Yusuf Makamba akiwa katibu mkuu?
Imagine,kipindi kile jiwe alimbana kakobe kutunza fedha kwenye madiaba,kumbe wapo wengi lol?Ina maana Silent Ocean Wana kasiki la kuhifadhi zaidi ya Billion 5 cash?
Imagine kijana huyo anapeleka zaidi ya Million 400 daily, hao vijana wengine vipi?
Serikali inaruhusu mtu binafsi kukaa na kiasi hicho cha pesa?
SidhaniHuu Uzi utawagawa watu Kii _usimba na u_yanga
Kamsome Pablo Escobar GaviriaSalah mtu safi sana.. sijui kabadilika lini?
Namkumbuka salah enzi za shule St marys around 2005 / 2006 Alikuwa mcheshi sana.. school bus ya st marys iliyokuwa inaenda kariakoo salah alikuwa kipenzi cha abiria wa madarasa yote kuanzia form 1 mpaka form 6
Leo Salah yule ndie anabinya watu mapumbuzzz kweli ? Kweli maisha yanabadilisha watu
Huyo mwamba ndio aliwaweza watu kama hawa. Waliufyata kama panda walionyeshewa.JPM aluyabana haya majizi
Hakuna jini Wala shetani mbonaNimetimiza ahadi kwenu. Nasubiri majini yao niyafanye kitu mbaya
Sisi tumekula kiapo na kifo cha heshima ni sehemu ya kazi yetu. Kesho nisipoamka kama kweli majini yanaweza basi huu uzi utakuwa mchango wangu muhimu sana kwa Taifa langu maana sio wengi wanaoweza kusimamia Haki. I will die as a Happy man.Afanse umeamua kujilipua ovaa Mungu akulinde 🙏eliud alikuwa mzembe kujigeuza mhasibu kisa aliwah fanya kazi ya uwakala wapesa😅akajiona mhasibu mbobezi😅na akamwamini maamuna mwenzie Pius kudeal na pesa mingi hivyo,bado elimu Ina nafasi yake wandugu angeajiri professional accountant yasingetokea haya,hapo ndo mzungu anatupiga gap,ila Salah anafanya kazi ya uhujumu uchumi na mamlaka husika zinajua,hata maza anajua,na kama alivyosema hakuna wa kumfanya lolote🙏hii ndo Tanzania tuijuayo,isitoshe jamaa anamiliki silaha ya Moto isivyo halali manake hayuko kwenye records za wamiliki silaha kama alivyosema😅yawezekana alitambua gap la umaamuna wa eliud na akamtumia Pius kupiga hizo hela,afande kuwa makini watakuwinda manake wanamkono mrefu hao,watch your back dude,hata mkuu wako Yuko kwenye payroll yao usiahangae,mi5 Tena kwa mama akeee😅😅🙅🏃
Majengo yanaficha vitu vingiIna maana Silent Ocean Wana kasiki la kuhifadhi zaidi ya Billion 5 cash?
Imagine kijana huyo anapeleka zaidi ya Million 400 daily, hao vijana wengine vipi?
Serikali inaruhusu mtu binafsi kukaa na kiasi hicho cha pesa?