Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Afu unachotakiwa elewa hizo dollar huwa hazivuki mipaka.
Tsh zinatumika kununulia mazao, wao wanapewa dollar huko Dubai, China
 
Afu unachotakiwa elewa hizo dollar huwa hazivuki mipaka.
Tsh zinatumika kununulia mazao, wao wanapewa dollar huko Dubai, China
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wabongo wakishaaribu kazi wanaona Kumchomea boss kuwa anafanya udanganyifu sijui aniibia serikali ndo solution.. Mbona kabla hujamuibiaa akakuzingua hukusemaaa??? Leo unaona sio sawa sababu ushamuibiaa unataka serikali ikusadie kumzuiaa asikushtaki au kukudai au???[emoji3][emoji3][emoji3] Watu walipe helaa za watu waache TAMAAAA. SALAH NYOOSHA HAO VIJANA
 
Ukiwaambia waweke ushahidi hawana
 
Ukiwaambia waweke ushahidi hawana
yani shida kwelii.. PIU kaiba parefu analipa mil 22 eliud anakubali kama sio na yeye ni sehemu ya mpango ni nini??? wawekezaji wa kazi sana kwenye hii nchii yani WIZI ndo jambo wanawaza waajiriwa wengi wa kibongo wampige boss bhasi.. wale vibarua wanaojenga barabara wanaiba mifuko ya cement waziwazi kesho barabara zinabomoka baada ya siku mbili... mchina anajua aliweka mifuko 10 ya cement kumbe saba iliibwa ni AIBUU KUBWA hili nilishuhudia kwa macho yangu.
 
Mbongo ukimpa kazi inatakiwa umpeleke kiyankuza Zaid , ukicheka naye dk 2 nyingi ashakurudisha kilingeni , aisee usije mchekea mtanzania kwenye biashara Acha kabisa
 
Mbongo ukimpa kazi inatakiwa umpeleke kiyankuza Zaid , ukicheka naye dk 2 nyingi ashakurudisha kilingeni , aisee usije mchekea mtanzania kwenye biashara Acha kabisa
tena sio watu wa pembeni unakuta hata ndugu wanakuhujumu unaona.. so kwenye hii kesi salah acha apambane na hawa vijana walijifanya wajanja huyu eliud anataka ionekane PIU ndo mwenye kesi ila ukiangalia vizuri yeye ndo wakulibeba hili direct.
 
Kwanza mwamba kawastahi tuu kibingo Yani ,warudishe hela mambo yaishe ,sasa walivvyo mafala wanaanza kutapa tapa tena ....!! Tajiri mwingine anakutaifisha kila kitu na anakuua..usicheze na hela kabisa , hela ni dini inayojitegemea
 
Mengine yote nimefuta ili nukuu isiwe ndefu. Hapo ulipoelekeza ofisi za silent ocean zilipo napenda kuuliza kidogo kwa kuwa hiyo mitaa naifahamu sana kupita maelezo.

1) Umeandika zilipo ofisi za silent ocean ni "Mkabala na...", nijuavyo, Mkabala na jengo la CCM ni Shule ya Mnazi Mmoja, unamaanisha kiwanja cha shule ya Mnazi Mooja ndiyo kimeuzwa? Maana nilisikia licha ya Mnazi MMoja Primary School pia kwenye hivyo viwanja vya shule pia imejengwa Sekondari. Tafadhali fafanua.

2) Au kama hukumaanisha "mkabala" kwa maana ya kutazamana (opposite), Je, ulimaanisha pembeni ya jengo la CCM?

Nuliuliza maswali hayo makusudi, nilikua nataka uhakika kama kuna jengo lingine wamejenga zaidi ya hilo la GSM lililo ubavu kwa ubavu na CCM na siyo mkabala kama ulivyoelezea kwenye udaku wako.

Sipo hapa kupingana na maelezo yako wala sipo hapa kukutetea wewe au kumtetea salaha. Nipo hapa kuweka records sawaswa kuhusu jengo tajwa.

Kama unaengelea lilipo jengo la GSM lililo ibavuni mwa CCM, nafurahi kukujulisha kuwa hapo iliuzwa nyumba iliokuwa wanaishi watu, mimi ni mmojawapo, nnaiijuwa fika, hsukuuzws uwanja hapo.

Siyo ya CCM, haijawahi kuwa ya CCM wala hawahusiki na wala Yusuf Makamba hajawshi kuhusika hata kidogo kuuzwa kwanyumba hiyo.

Nyumba hiyo iliuzwa kwa wamiliki wa Home Shopping Centre kwa wakati huo.

Umbea wako na Salaah usiihusishe CCM wala Yussuf Makamba hata kidogo.

Nimeshindwa kuelewa kwanini uihusishe CCM na huo udaku wako?
 
Kwa maelezo ya mtoa mada Salah Hana tatizo hata kidogo , naijua biashara , bila kuwa katili kwenye usimamizi wa pesa hutoboi , imagine dogo aliyeiba wasingemsulubu hakuna kingepatikana , kuhusu kutakatisha pesa ni ujanja wa Salah na ujinga wa serikali full stop

Umepiga kotekote sio. Isimamie biashara kwa kutenda haki. Muonesha haki mbia mwenzako asione kama unamdhurumu. Hapa Salaa ameshindwa kutenda haki.

Pamoja na juhudi za mbia wake wakae wapigiane hesabu, kwa nini yeye anakwepakwepa kama sio dhuruma ni nini?
 
Back
Top Bottom