roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Na Manji karudi hahahaaaaa ! Duuuuu suburini mtaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kuguswa maana ni miongoni mwa wafadhili wa kampeni za CCM .
Kamaliza form four mwaka.ganiSalah mtu safi sana.. sijui kabadilika lini?
Namkumbuka salah enzi za shule St marys High school enzi za O level Alikuwa mcheshi sana.. school bus ya st marys iliyokuwa inaenda mitaa ya kariakoo salah alikuwa kipenzi cha abiria wa madarasa yote kuanzia form 1 mpaka form 6
Leo Salah yule ndie anabinya watu mapumbuzzz kweli ? Kweli maisha yanabadilisha watu
Kamaliza form four mwaka.gani
Duh kumbe ni bwana mdogo tu aiseekamaliza form four ST MARYS mwaka 2006
Duh kumbe ni bwana mdogo tu aisee
Ifike wakati kila rangi irudi kwao back Rev. Christopher MtikilaKama mtu anaweza kufanya unyama huu wa Kutesa watu ofisini kwake,wizi na kudhulumu watu,uhujumu uchumi na Uchafu wote huu,Hivi tuna usalama wa taifa wanaojielewa kweli?Tuna polisi kweli?
IGP anapaswa kubaki kwenye nafaasi take kweli?
Mheshimiwa Raisi, kwakuwa juzi umesema huwa unapitia hapa Jamii Forums, chukua hatua juu ya hili.
Hili ni tukio moja tu, Je amefanya mangapi ambayo hatujui?
Ukipitia ule Uzi wa kwanza utaona jinsi watu walivyofunguka juu ya Uhuni wa huyu mtu,mpaka analawiti watu?
Tunaaubiri tuone hatua gani utachukua.
Mleta Mada Mungu akulinde.
36Sio mkubwa sana yupo around 30s
Sio mdogo kwasababu hakuna dogo anaekuwa tajiriDuh kumbe ni bwana mdogo tu aisee
Yaani unywe Pilsner Afu ujiite jasiri?Nilikua najiona jasiri Sana
Mleta mada Kani prove wrong
😂😂😂 unaweza kukuta hata huyo saala anakunywa Azam embeYaani unywe Pilsner Afu ujiite jasiri?
Wanywa double kick wajiiteje sasa?
Unayosema ni sahihi. Lakini ukiwa katili mwenye hekima utakuwa na nguvu maradufu. All the same your statement must standSaalah yuko sawa. Huyu ni mfanyabiashara na biashara zina principle zake. Kamwe usiruhusu senti yako ktk biashara ipotee kizembe. Asitokee yeyote akusababishie hasara ktk biashara yako, huyu ni wa kuua tu ili usionekane unaingilika kirahisi. Jitahidi kukwepa kodi kadri inavyowezekana. Jenga urafiki na wenye mamlaka na vyombo vyenye mamlaka.
Ukitimiza haya utatoboa tu.
upo bado,naamini kuna uchunguzi unafanyika kujua hizi allegations ni za kweli au laBila shaka uzi pia utafutwa