Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

Huku tuendako sasa siko kabisa.
Nchi haipaswi kuongozwa au kuwa influenced na "makundi ya kihalifu" - ilianza awamu ya 4, ikahalalishwa awamu ya 5 sasa tunaona kasi ilivyokolezwa.
 
Salah mtu safi sana.. sijui kabadilika lini?

Namkumbuka salah enzi za shule St marys High school enzi za O level Alikuwa mcheshi sana.. school bus ya st marys iliyokuwa inaenda mitaa ya kariakoo salah alikuwa kipenzi cha abiria wa madarasa yote kuanzia form 1 mpaka form 6

Leo Salah yule ndie anabinya watu mapumbuzzz kweli ? Kweli maisha yanabadilisha watu
Kamaliza form four mwaka.gani
 
Kama mtu anaweza kufanya unyama huu wa Kutesa watu ofisini kwake,wizi na kudhulumu watu,uhujumu uchumi na Uchafu wote huu,Hivi tuna usalama wa taifa wanaojielewa kweli?Tuna polisi kweli?
IGP anapaswa kubaki kwenye nafaasi take kweli?

Mheshimiwa Raisi, kwakuwa juzi umesema huwa unapitia hapa Jamii Forums, chukua hatua juu ya hili.

Hili ni tukio moja tu, Je amefanya mangapi ambayo hatujui?
Ukipitia ule Uzi wa kwanza utaona jinsi watu walivyofunguka juu ya Uhuni wa huyu mtu,mpaka analawiti watu?

Tunaaubiri tuone hatua gani utachukua.

Mleta Mada Mungu akulinde.
Ifike wakati kila rangi irudi kwao back Rev. Christopher Mtikila
 
Nilikua najiona jasiri Sana
Mleta mada Kani prove wrong
 
BORA RAISI AJAYE AWE KAMA MAGU AWANYOOSHE HAWA WA BADHILIFU NA WATU WOTE WA AINA HII ILI KUKOMESHA KABISA MTINDO HUU [emoji848] [emoji119] SHIDA AKIJA RAISI KOMANDOO KELELE ZINAKUWA NYINGI TENA kum*maqe wa Tz [emoji1241] hatujui tunataka nini
 
Saalah yuko sawa. Huyu ni mfanyabiashara na biashara zina principle zake. Kamwe usiruhusu senti yako ktk biashara ipotee kizembe. Asitokee yeyote akusababishie hasara ktk biashara yako, huyu ni wa kuua tu ili usionekane unaingilika kirahisi. Jitahidi kukwepa kodi kadri inavyowezekana. Jenga urafiki na wenye mamlaka na vyombo vyenye mamlaka.

Ukitimiza haya utatoboa tu.
Unayosema ni sahihi. Lakini ukiwa katili mwenye hekima utakuwa na nguvu maradufu. All the same your statement must stand
 
Back
Top Bottom