Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Hakuna mtu mwenye akili timamu atamchaguaNa bado atachaguliwa na wananchi 28/10/2020
Lissu for PresidencyMagufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5.. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa.
Sasa majibu yake haya hapa:
1. Hajatoa ajira miaka 5
2. Hajaongeza mishahara kwa miaka 5....
Kenge hafi mpaka damu zimtokeHatupo tayari kutaja neno RAIS TUNDU LISU kwa sasa!
Wezi wameiba nini? Rambirambi?Wezi nyie ngoja aendelee kuwabana
Watz awaelewi hatari mbele yake ilifaa na hata asusiwe kabisa mikutano yake abaki na diamond.29. Ana visasi tusipolinda kura tutajuta kwa miaka kumi au zaidi sababu atabadili katiba.
Aaah wapiga dili wa awamu hii jua lishawaka tafuteni ajira zingine OctoberBinadamu yeyote anapenda sana kuwa kwenye comfort zone, yaani hatakubaliana na Jambo lolote hata liwe jema namna gani litalomuondoa kwenye hali aliyokuwa awali.
Mabadiliko yaliyoletwa na awamu ya tano yametufanya tuwajibike kwa asilimia kubwa katika kulipa Kodi, na kuwajibika katika nyanja nyingine pia za kijamii,
sasa kwa kuwa kuna watu waliokuwa wakifaidi mfumo uliopita na sasa wamebanwa lazima walalamike,
Ndio hawa mleta mada akiwemo.
Baada ya kuteswa 5 yrsIn Lissu we have a comforter, teh! Lissu ameamua kuwa mfariji wetu, that's hilarious. Kumbe tunahitaji mfariji, hii nimeisikia kampeni hizi.
Wakati ukuta,wapiga dili nyie mwisho OctoberHatupo tayari kutaja neno RAIS TUNDU LISU kwa sasa!
Kwa Jamii ya watu walioelimika na kustaarabika asingepata hata umonita darasani Hana ethics za leadershipHafai hafai hafai hata kwa kulumangia