Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

Kuwa za kweli au sio za kweli hakuondoi lengo la maamuzi ambalo mleta mada ni lazima alipotoshe kwa nia zake za kisiasa.

Magufuli anataka tuwajibike, anataka tuwe wazalendo kwa rasilimali zetu.
Uzalendo wa kuua na kupoteza watu ikiwemo na kuwafilisi? Jiwe hapana tumkatae kwa pamoja
 
29. Ana visasi tusipolinda kura tutajuta kwa miaka kumi au zaidi sababu atabadili katiba.


30--- kuwatusi na kuwadhalilisha watendaji wake hadharani kama watumwa wake bila kuangalia heshima zao kama binadamu, mbaya zaidi wengine wamemzidi umri.
 
Uzalendo wa kuua na kupoteza watu ikiwemo na kuwafilisi? Jiwe hapana tumkatae kwa pamoja

Mpaka uuwawe utakuwa umefanya kosa kubwa sana kwa taifa lako. Utakuwa ni msaliti unayetaka ulindwe na kisingizio cha haki za raia.

Mpaka US huwa anashughulikia wasaliti kama wewe sembuse nchi zetu za kiafrika!.
 
Unazingua ww kwaiyo sisi tunaokatwa asilimia 15 na bodi ya mikopo ni sawa unavyoona? Unajua muda mwingine bora ukae kimya mzee huu ndo muda wa kuongea mambo haya ww unakuja kusema hoja hazina mashiko kwa sasa sasa zitakuwa na mashiko baada ya uchaguz au ? Hata kama unamapenz ya chama chako ila penda kuwa mkweli na kutetea haki acha mihemko binafsi.
Poa mchagueni Lissu atakaewaondolea kodi na kuwagaia Pesa.
 
27 reasons why Magufuli shouldn't be reelected for 2020 - 2025.... cute!
 
Yaani unaonyesha kabisa kuwa unaumia sana, Jiwe hafai hata kuwa konda wa daladala
Uzuri ni kwamba we mwenyewe unaongea lakini ukweli unaujua kuwa Lissu hawezi kuwa rais hata kidogo.

Labda ni ubishi tu ambao hauna maana yoyote na kukosa weledi wa kuyajua mambo
 
Mpende msipende Huyo ndiye Rais wetu mpaka 2025
Chuki zenu hazisaidii mpo wachache hata kiganja cha paka hamuenei
 
Na bado atachaguliwa na wananchi 28/10/2020
Dhambi kubwa kabisa kuliko zote ni wananchi kumchagua kuwa Rais huku udhaifu wa uwezo wake ulianza kujitokeza akiwa mwalimu, ukajitokeza wazi akiwa mbunge, miaka 20 ya uwaziri ilipaisha udhaifu kwa kila mtu kuona lakini akachaguliwa.

Miaka 5 ya uongozi wake akiwa Rais ni muda uliopotea maana udhaifu wake umedhihirika kwa maneno mengi vitendo hakuna, miradi mingi unatajwa lakini haionekani, sifa na kusifiana kwingi hakuna kilichofanyika, vitisho vingi vya kisheria mvunja Sheria ni yeye, teua/tengua kila siku tija hakuna. Dhambi zilizoorodheshwa na mleta mada zitoshe, tusirudie kosa.
 
Kweli HAFAI. List ni kubwa mno
Vipi kuhusu maadili na uhusiano wake na wanawake kuondoa stress?
 
Back
Top Bottom