Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha .

hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa sababu ya mapinduzi ambayo nchi za magharibi zinafanya.
Nchini Marekani kuna 23% ya single mother wote ulimwenguni kwa maana ndiyo nchi ambayo inaongoza kwa kuwa na single mother wengi duniani.

unajua madhara ya Single mother kuongezeka duniani ni kupata mashoga na wasagaji kwa sababu,mwanaume ambaye analea mtoto asiekuwa wake pale ambapo anapogundua mzazi mwenza amerudiana na mama watoto wake baada ya yeye kuwekeza fedha nyingi sana husababisha chuki,wivu, kujichukia na kuwachukia Single mother

baadhi ya wanaume hufanya ulawiti kwa watoto wao wa kambo kwa sababu wanalipa kiasi kwamba endapo Single mother ataondoka na kurudiana na mzazi mwenzie basi na yeye mwanaume anakuwa amepata fidia kwa kumbaka au kulawiti.

tuje kwenye hoja yangu.

SABABU 4 ZENYE KUFANYA MWANAMKE ANAWACHUKIA WANAUME PAMOJA NA KUYACHUKIA MAHUSIANO
Ukiona mwanamke mbabe, mwenye kauli za mkato, mwenye misimamo mikali sana (rigid), Gold digger, mwanamke jeuri,mwenye dharau, majivuno, kiburi na ujuaji nyuma ya pazia kuna vitu vitatu
1.Baba yake mzazi alikuwa dikteta hivyo alikuwa na tabia ya kumpiga, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumshambulia kwa maneno makali sana, vilevile mama yake amepitia vipigo, matusi, unyanyasaji, kupokonywa mali, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane

2.Baba yake hamjui.Huenda baba yake mzazi aliamua kumkomoa mama yake na kuamua kumtelekeza bila huduma zozote,au baba yake mzazi alikataa ujauzito,au alitokomea kusikojulikana kwa miaka mingi sana bila huduma zozote,au baba yake alikufa,au alifungwa jela,
3.Baba yake mzazi alikuwa legelege sana (passive father).Nyumbani kwao huyu binti baba yake alikuwa mpole kupitiliza, mvumilivu sana, mnyenyekevu kupitiliza, king'ang'anizi,alikuwa hana kauli yoyote wala mamlaka yoyote ndani ya familia.Maana yake huenda baba alikuwa mlevi kupindukia, mwizi, mhalifu,alikuwa analelewa kama marioo au kibenteni,huenda baba yake alikuwa anatoa huduma zote lakini alikuwa hana kauli wala mamlaka yoyote ndani ya familia.Hivyo binti amekuwa chini ya uangalizi na mamlaka ya mama .mama yake mzazi amemfundisha kuleta ubabe, ukatili, udikteta, udhalilishaji, dharau, majivuno, kiburi na jeuri kwa wanaume - mama yake anasema "mwanaume asikusumbue akili,haujaua hapa nyumbani akileta usumbufu,akitaka kukupanda kichwani ondoka rudi kwenu" ,mama yake binti anafundisha binti yake asiwe mnyenyekevu,asiwe na huruma,asiwe mvumilivu kwa mwanaume badala yake mwanaume anatakiwa kugeuka mtumwa ili kumfurahisha yeye (binti ) saa 24.Hivyo binti anakuwa gold digger kwa maana yupo kimaslahi,ni kawaida kwa binti wa aina hii kuzaa na waume za watu kwa sababu mama yake yupo kimaslahi zaidi.

4.Alitendwa na mwenza wake wa zamani.Hivyo yupo na chuki, kinyongo,wivu,hasira kupitiliza dhidi ya ex wake,huenda ex wake alimtelekeza na ujauzito au watoto,huenda ex wake alikuwa anamsaliti mara kwa mara,huenda ex wake alikuwa anampiga sana, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumuingilia kinguvu, kumuingilia kinyume na maumbile.Vilevile huenda mwenza wake alimfukuza mara kwa mara usiku wa manane.

MWANAUME RIJALI TAMBUA MAJUKUMU YAKO
Kazi za mwanaume Rijali ndani ya familia
1.Kulinda heshima ya familia.Mwanaume Rijali haitaji kupendwa wala haitaji kumpenda Mwanamke.Kulinda heshima ya familia ni pamoja na kuzuia maneno makali sana ya mama mkwe na mawifi kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana,kumtishia kumfukuza mwenza wako,

2.Kuhudumia familia
hudumia familia kulingana na uwezo wako.Kama unaweza kula vizuri, vaa vizuri, tumia manukato,chombo cha usafiri n.k kulingana na uwezo wako.Hakikisha unawekeza zaidi kwako kwa maana kwa ajili ya familia sio ya mwenza wako.Epuka kumjengea, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kusomesha watoto wa ndugu zake pamoja na kujenga kwao na mwenza wako kwa lengo la kuzuia kuachana au kuzuia asije kukusaliti.Kama unafanya uwekezaji mkubwa kwa mwenza wako fanya kama sadaka sio kifungo cha kuzuia kuachana.Mapenzi hayana bima wala guarantee.Hivyo wekeza zaidi kwa mustakabali wa familia sio kumfurahisha mwenza wako.Siku akiondoka aondoke lakini uwekezaji mkubwa upo kwa ajili ya kulinda familia.Mtoto anabaki na baba ilimradi umekuwa muadilifu kwa familia yako na yeye amelazimisha muachane.Hakikisha watoto wanakuwa chini ya mamlaka na uangalizi wako kwa sababu baba wa kambo sio wa kumuamini anaweza kukomoa kama kisasi.

3.Ongoza familia,weka sheria na miongozo kwa maslahi ya familia sio kuleta ubabe, ukali kupitiliza, kiburi, majivuno, jeuri, udikteta kwa lengo la kuficha uovu wako.Wapo akina baba hufanya uovu na uchafu kisha anakuwa mkali kupitiliza ili kuzuia kuambiwa makosa yake.Zingatia kwamba kiongozi dikteta huwa anapinduliwa tu.
Ukiwa dikteta kwa sababu ya mamlaka yako ya familia mwenza wako atakuwa super woman, Wakanda forever, Strong and independent woman hapo mtakuwa kama mpo kwenye debate competition kila siku mnaingia kwenye ugomvi kwa vitu vidogo vidogo sana.

toa onyo, onyesha msimamo,kuwa na huruma kiasi, uvumilivu kiasi,sikiliza malalamiko ya mwenza wako.

sio sifa ya mwanaume eti anakuwa na gubu, kisirani, chuki, kinyongo,ananuna, kususa,kutishia muachane, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumdhalilisha mwenza ili kuonyesha uanaume huo ni UTOTO sio uanaume.

jiulize je unafaa kuwa role model kwa jamii yako ukiona haufai ujue wewe ni mwanaume DHAIFU SANA. je unaweza kusimama mbele ya watu wengine kisha Watu wakataka mawazo yako ? ukiona haupewi nafasi ya kutoa mawazo popote ujue hauna sifa za mwanaume Rijali.
Mwanaume epuka kumtawala mwenza wako bali muongoze.,epuka kumpelekesha bali muelekeze,epuka ubabe usiokuwa na maana ,onyesha msimamo lakini usiwe na kiburi kwa kutaka uonekane mkubwa sana.

Epuka kunyenyekea sana lakini vilevile epuka kuongea kwa ukali kupitiliza.Kuwa na sauti nzito sio sauti ya upole uliopitiliza au sauti ya manung'uniko ya mara kwa mara.

kuna wanaume huwa wanaongea sana mpaka wanakera.Mtu anaongea kitu kimoja masaa mawili huo sio uanaume ni utoto
mwanaume Rijali epuka wivu wa mapenzi hauna faida yoyote.

mapenzi hayana bima wala guarantee kuonyesha wivu kupitiliza ni UDHAIFU na utakuwa na wakati mgumu sana kumsahau ex wako kama mtaachana.
Kuwa muadilifu,tenda haki,epuka upendeleo kwa mama yako mzazi au kwa mwenza wako,epuka upendeleo kwa watoto huo ni utoto.

Mungu alileta mitume na manabii wa kiume kwa sababu alijua mwanaume ni kiongozi shupavu,mwanaume ni kichwa cha familia,kuwa mwanaume sio kuwa na uume na korodani mapajani bali uimara wa akili na mwili.

haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.

#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
🤺🤺

Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000

Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini 👇

Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000

Mawasiliano
+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam
 
Attachments

  • FB_IMG_1740144275332.jpg
    FB_IMG_1740144275332.jpg
    57.9 KB · Views: 2
Wengi Wana trauma afya ya akili lkn Jesus Christ only anaouwezo wa kufuta any kumbukumbu mbaya uliyoifadhi kwenye subconscious mind.
Au ufanye meditation Kwan kazi ya meditation ni uzaliwe mara ya pili yaani Renunciation ni kitendo cha kuzaliwa mara ya pili kwa kufuta kumbukumbu zote mbaya utotoni ili uwe perfection
 
Hivi ni kwamba bado hamjawajua wanawake au labda sisi wengine ndio hatuna sifa za wanawake, mbona kuna wanawake wengi ambao hatujapitia mabaya yoyote kwenye familia wala mahusiano, ila tuna hiyo misimamo ambayo mnaita mikali

By the way kwanini ni wanawake tu wakikosoa maovu ya wanaume, ndio huonekana wana matatizo na kupewa sifa zote mbaya, ila wanaume wakikosoa maovu ya wanawake huonekana wako sahihi kwamba wanaume wao ni wema sana au

Yani dunia imejaa misogynists kibao lakini hakuna anayeona kama wana matatizo wao huonekana wako sawa tu, ila siku zote wanawake ndio wenye shida yani ole wako mwanamke ukosoe maovu ya wanaume, watakuita majina yote mabaya utadhani wanakujua na watajifanya wanasaikolojia uchwara na manabii feki juu ya maisha yako
 
Ngoja nipoze injini nitarudi kusoma hii essay
 
Mtu kaamua kukaa pembeni alee watoto wake at least akila hata ugali wake ushuke kuepuka gubu na masimango ya baadhi ya wanaume 🤣🤣 napo bado anasakamwa. Mtu yeyote ambae ni timamu ke/me misimamo ni lazima.
 
Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha .

hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa sababu ya mapinduzi ambayo nchi za magharibi zinafanya.
Nchini Marekani kuna 23% ya single mother wote ulimwenguni kwa maana ndiyo nchi ambayo inaongoza kwa kuwa na single mother wengi duniani.

unajua madhara ya Single mother kuongezeka duniani ni kupata mashoga na wasagaji kwa sababu,mwanaume ambaye analea mtoto asiekuwa wake pale ambapo anapogundua mzazi mwenza amerudiana na mama watoto wake baada ya yeye kuwekeza fedha nyingi sana husababisha chuki,wivu, kujichukia na kuwachukia Single mother

baadhi ya wanaume hufanya ulawiti kwa watoto wao wa kambo kwa sababu wanalipa kiasi kwamba endapo Single mother ataondoka na kurudiana na mzazi mwenzie basi na yeye mwanaume anakuwa amepata fidia kwa kumbaka au kulawiti.

tuje kwenye hoja yangu.

SABABU 4 ZENYE KUFANYA MWANAMKE ANAWACHUKIA WANAUME PAMOJA NA KUYACHUKIA MAHUSIANO
Ukiona mwanamke mbabe, mwenye kauli za mkato, mwenye misimamo mikali sana (rigid), Gold digger, mwanamke jeuri,mwenye dharau, majivuno, kiburi na ujuaji nyuma ya pazia kuna vitu vitatu
1.Baba yake mzazi alikuwa dikteta hivyo alikuwa na tabia ya kumpiga, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumshambulia kwa maneno makali sana, vilevile mama yake amepitia vipigo, matusi, unyanyasaji, kupokonywa mali, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane

2.Baba yake hamjui.Huenda baba yake mzazi aliamua kumkomoa mama yake na kuamua kumtelekeza bila huduma zozote,au baba yake mzazi alikataa ujauzito,au alitokomea kusikojulikana kwa miaka mingi sana bila huduma zozote,au baba yake alikufa,au alifungwa jela,
3.Baba yake mzazi alikuwa legelege sana (passive father).Nyumbani kwao huyu binti baba yake alikuwa mpole kupitiliza, mvumilivu sana, mnyenyekevu kupitiliza, king'ang'anizi,alikuwa hana kauli yoyote wala mamlaka yoyote ndani ya familia.Maana yake huenda baba alikuwa mlevi kupindukia, mwizi, mhalifu,alikuwa analelewa kama marioo au kibenteni,huenda baba yake alikuwa anatoa huduma zote lakini alikuwa hana kauli wala mamlaka yoyote ndani ya familia.Hivyo binti amekuwa chini ya uangalizi na mamlaka ya mama .mama yake mzazi amemfundisha kuleta ubabe, ukatili, udikteta, udhalilishaji, dharau, majivuno, kiburi na jeuri kwa wanaume - mama yake anasema "mwanaume asikusumbue akili,haujaua hapa nyumbani akileta usumbufu,akitaka kukupanda kichwani ondoka rudi kwenu" ,mama yake binti anafundisha binti yake asiwe mnyenyekevu,asiwe na huruma,asiwe mvumilivu kwa mwanaume badala yake mwanaume anatakiwa kugeuka mtumwa ili kumfurahisha yeye (binti ) saa 24.Hivyo binti anakuwa gold digger kwa maana yupo kimaslahi,ni kawaida kwa binti wa aina hii kuzaa na waume za watu kwa sababu mama yake yupo kimaslahi zaidi.

4.Alitendwa na mwenza wake wa zamani.Hivyo yupo na chuki, kinyongo,wivu,hasira kupitiliza dhidi ya ex wake,huenda ex wake alimtelekeza na ujauzito au watoto,huenda ex wake alikuwa anamsaliti mara kwa mara,huenda ex wake alikuwa anampiga sana, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumuingilia kinguvu, kumuingilia kinyume na maumbile.Vilevile huenda mwenza wake alimfukuza mara kwa mara usiku wa manane.

MWANAUME RIJALI TAMBUA MAJUKUMU YAKO
Kazi za mwanaume Rijali ndani ya familia
1.Kulinda heshima ya familia.Mwanaume Rijali haitaji kupendwa wala haitaji kumpenda Mwanamke.Kulinda heshima ya familia ni pamoja na kuzuia maneno makali sana ya mama mkwe na mawifi kumdhalilisha, kumgombeza, kumtukana,kumtishia kumfukuza mwenza wako,

2.Kuhudumia familia
hudumia familia kulingana na uwezo wako.Kama unaweza kula vizuri, vaa vizuri, tumia manukato,chombo cha usafiri n.k kulingana na uwezo wako.Hakikisha unawekeza zaidi kwako kwa maana kwa ajili ya familia sio ya mwenza wako.Epuka kumjengea, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kusomesha watoto wa ndugu zake pamoja na kujenga kwao na mwenza wako kwa lengo la kuzuia kuachana au kuzuia asije kukusaliti.Kama unafanya uwekezaji mkubwa kwa mwenza wako fanya kama sadaka sio kifungo cha kuzuia kuachana.Mapenzi hayana bima wala guarantee.Hivyo wekeza zaidi kwa mustakabali wa familia sio kumfurahisha mwenza wako.Siku akiondoka aondoke lakini uwekezaji mkubwa upo kwa ajili ya kulinda familia.Mtoto anabaki na baba ilimradi umekuwa muadilifu kwa familia yako na yeye amelazimisha muachane.Hakikisha watoto wanakuwa chini ya mamlaka na uangalizi wako kwa sababu baba wa kambo sio wa kumuamini anaweza kukomoa kama kisasi.

3.Ongoza familia,weka sheria na miongozo kwa maslahi ya familia sio kuleta ubabe, ukali kupitiliza, kiburi, majivuno, jeuri, udikteta kwa lengo la kuficha uovu wako.Wapo akina baba hufanya uovu na uchafu kisha anakuwa mkali kupitiliza ili kuzuia kuambiwa makosa yake.Zingatia kwamba kiongozi dikteta huwa anapinduliwa tu.
Ukiwa dikteta kwa sababu ya mamlaka yako ya familia mwenza wako atakuwa super woman, Wakanda forever, Strong and independent woman hapo mtakuwa kama mpo kwenye debate competition kila siku mnaingia kwenye ugomvi kwa vitu vidogo vidogo sana.

toa onyo, onyesha msimamo,kuwa na huruma kiasi, uvumilivu kiasi,sikiliza malalamiko ya mwenza wako.

sio sifa ya mwanaume eti anakuwa na gubu, kisirani, chuki, kinyongo,ananuna, kususa,kutishia muachane, kumgombeza, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumdhalilisha mwenza ili kuonyesha uanaume huo ni UTOTO sio uanaume.

jiulize je unafaa kuwa role model kwa jamii yako ukiona haufai ujue wewe ni mwanaume DHAIFU SANA. je unaweza kusimama mbele ya watu wengine kisha Watu wakataka mawazo yako ? ukiona haupewi nafasi ya kutoa mawazo popote ujue hauna sifa za mwanaume Rijali.
Mwanaume epuka kumtawala mwenza wako bali muongoze.,epuka kumpelekesha bali muelekeze,epuka ubabe usiokuwa na maana ,onyesha msimamo lakini usiwe na kiburi kwa kutaka uonekane mkubwa sana.

Epuka kunyenyekea sana lakini vilevile epuka kuongea kwa ukali kupitiliza.Kuwa na sauti nzito sio sauti ya upole uliopitiliza au sauti ya manung'uniko ya mara kwa mara.

kuna wanaume huwa wanaongea sana mpaka wanakera.Mtu anaongea kitu kimoja masaa mawili huo sio uanaume ni utoto
mwanaume Rijali epuka wivu wa mapenzi hauna faida yoyote.

mapenzi hayana bima wala guarantee kuonyesha wivu kupitiliza ni UDHAIFU na utakuwa na wakati mgumu sana kumsahau ex wako kama mtaachana.
Kuwa muadilifu,tenda haki,epuka upendeleo kwa mama yako mzazi au kwa mwenza wako,epuka upendeleo kwa watoto huo ni utoto.

Mungu alileta mitume na manabii wa kiume kwa sababu alijua mwanaume ni kiongozi shupavu,mwanaume ni kichwa cha familia,kuwa mwanaume sio kuwa na uume na korodani mapajani bali uimara wa akili na mwili.

haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.

#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
🤺🤺

Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000

Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini 👇

Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000

Mawasiliano
+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam
Upupu huu umechanganywa sijui nani anaweza kuuelewa nimeuachia robo
 
Back
Top Bottom