moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una maanisha asili kwamba mwanaume ni kiongozi?Asili haipotei
kivipi mkuu Koffi Annan ?Maamuzi Vs Mihemko
Maamuzi Vs Mihemko
Ke = Hisia (chuki au furaha toka moyoni) kimaamuzi = Asilimia kubwa huwa ni hasara.kivipi mkuu Koffi Annan ?
kwlei mkuu.Mfano mdogo mwanamke akiwa kwenye siku zake , kuna baady ya siku akili inakuwa kwenye mvurugiko sana! Alafu awe ndio boss kazini!
Ili boss jinsia ya kike awe ana mienendo mizuri na wafanyakazi wake,ihakikiwe kuwa ana mahusiano mazuri na mme wake huko nyumbani na majirani pia.Ke = Hisia (chuki au furaha toka moyoni) kimaamuzi = Asilimia kubwa huwa ni hasara.
Me = Akili (toka kwenye ubongo) kimaamuzi = Asilimia kubwa huwa ni faida.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
uliopitia changamoto kubwa sana mkuuIli boss jinsia ya kike awe ana mienendo mizuri na wafanyakazi wake,ihakikiwe kuwa ana mahusiano mazuri na mme wake huko nyumbani na majirani pia.
Kwa kweli nimewahi kufanya kazi chini ya boss mwanamke,aisee yule mtu hafai,tulipishana kiasi kwamba niliamua hata nifukuzwe kazi ni sawa tu,alinizushia uongo kila sehemu,bahati nzuri akawa anaacha dots mwisho inajulikana ni uongo tu,fikiria ana phd ila anafanya mambo ya kitoto kabisa.
Baadae nikaja kugundua,anataka tuuheshimu uanamke wake sio yeye kama msimamizi,bt then nimeshaondoka huko,sio sababu yake ni baada ya kuona taasisi inaendeshwa kijinga kwa mihemko,waliobaki wapewe wepesi kusimama nae yule bibi.
Huyo boss hana sifa zozote za kiuongozi,na hafai kabisa,hayo mahusiano mazuri hata kwake hana,hata sura yake tu inaoyesha huyu si kiongozi mwema,hadi leo sijui ike taasisi ilifikiria nini kuweka watu chini ya usimamizi wa yule bibi.
Wewe utakuwa ni ke hakafu unawivu kwa mwanamke mwenzako. We unataka boss wako awe me ili awe anakuhonga hapo ofisini.Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?