Sababu gani zilifanya Jay Jay Okocha asitwae Ballon D' or enzi zake?

Kuna akina hazard,iniesta (kama zidane enz zile), coutinho,toni kroos,sneider alie staff juzjuz, mondric,torres enz zake, suarez, sanchez, ozil kama rivaldo, ramos kama canavarro, ko usishangae
Messi ni wa sayar nyingine yaan mfano wake ni maradona japo nae kapitwa mbali
Af insue ni kuwa sahv mpira umekuwa biashara(ushabiki) na messi kasababisha mpira uonekane wa wawili
 
Unajua sana mpira mkuu
 
Henry wa kawaida kulinganisha na hao watu wewe
Zidane mwenyewe wa kawaida
Henry mlinganishe na van persy
Tofaut ni van alikuwa majeruhi sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unachekesha
Messi hashindanishwi na akina gaucho au zidane bro
Huyo anashindanishwa na pelle na maradona bass
Unaweza ukapata picha ni aina gan ya mchezaj unaongelea
Utaonekana mjinga kumfananisha messi na zidane

CR7 ndo unamringanisha na hao tena nae anawazidi uwezo katika peak yake
Sema ronaldo nae sikuiz kabakiza jina2
 
Kwa mpira upi?
 
Basi wewe ni mtoto uliyezaliwa kuanzia 1994 na kuendelea mpira huujui mdogo wangu kwa watu tulioanza kufuatilia mpira tutakushangaa kapitie historia za wachezaji nliowataja halafu urudi tena hapa kwangu
 
Messi mwenyewe akiwaona hao nliowataja anatetemeka na kupiga magoti juu
 
Hapa naona kuna tatizo moja la kimsingi..kwa sisi tulioanza fwatilia mpira miaka ya tisini mwishoni tutakwambia hakuna kama ronaldo de lima..zidane..gaucho..figo..okocha..kanu..ila kwa walionza fwatilia mpira pindi barca inarudi kwenye form miaka ya 2003 kuendelea watakutajia messi..
Ila kwa ukweli messi hajafikia kipaji cha zidane au de lima..wale jamaa ni kama wachawi..
Wameshinda makombe yoote muhimu..mesi ye anashinda ligi na uefa
 
Okocha hakua na mchango kwa timu zake Kubeba ubingwa ukiondoa Nigeria;na wakati Okocha yupo kwenye peak kulikua na mafund wengi sana Weah,Ronaldo de Lima,Dinho,Rivaldo,Mendieta,Riquelme nk
Kwahyo Mandieta alikuwa fundi kuliko Okocha?
 
mkuu unamfahamu gaucho?au huwa unahadithiwa
Nadhani hamfahamu..yuke ndiye nabii wa mpira..
Nani kama gaucho..mwenye chenga za maudhi..anayefanya yanayopaswa kufanywa mazoezini tena si mbele ya kocha akiwa uwanjani..nani kama gaucho..
Watasema zidane au messi lakini ni nani kama gaucho..niliweza kubumilia kukaa hadi saa saba usiku ili nimwone nabii wa soka akifanya maajabu yake..
Nani kama gaucho...
 
Kipindi kile cha okocha kulikua kuna mafundi karibia kila nchi tofauti na sasa wachezaj at least wanaonesha kiwango cha juu ni messi na Ronaldo takribani miaka 8 sasa na wengine wengi ni wa kawaida sema mpira sikuiz biashara, kile kipnd kulikua na watu kama Gabriel batistuta, delima, rivaldo, romario, zizou, del piero, Christian vieri, kina kruveit, figo, yan unakuta takribani kila nchi inamiamba wake na wote watatoa mchango mkubwa sanaa kwa timu zao kufanikiwa ila okocha nae alikosa team nzuri kwa ngazi ya club mtu kama george opong weah AC Milan ilimbeba sanaa na kufanya yale maajabu yake UCL nae kama angebahatika kucheza moja wapo ya vilabu vikubwa kwa kipnd chakee nae angekua nominated ballon d'or
 
Word yani kwa viungo bora wa hapa karibuni yaya toure hawezi kukosa sema uafrica wakee tu ulimponza
 
Basi wewe ni mtoto uliyezaliwa kuanzia 1994 na kuendelea mpira huujui mdogo wangu kwa watu tulioanza kufuatilia mpira tutakushangaa kapitie historia za wachezaji nliowataja halafu urudi tena hapa kwangu
Ata kama nizaliwe leo
Sijawahi kuona messi akishindanishwa na hao
Maana level sio zao
 
Mungu anakuona yani hazard, kroos kwelii uwaweke kwenye same shoes na hao malengendary, anzia kwa iniesta, njoo kwa coutinho, sneider, modric halafu ndio uendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…