Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa.......hapo nyuma kulikuwa na mafundi weengi walikuwa wanawika kwa muda mmoja lakini kwa sasa unakuta ni mmoja au wawili!!Okocha ligi moja na akina Ronaldinho, Zidane , Laudrup,Pirlo ect
mkuu unamfahamu gaucho?au huwa unahadithiwaKwa mtazamo wangu Gaucho na okocha walikua sawia, style zao zimefanana kiasi flani,na ni wacheza show wazuri sana,na si utendaji kazi..atleast JJ namkubali, alionyesha uanaume wake.....
BlackKabla hatujaendelea , Is he Black or White .?
Kuna akina hazard,iniesta (kama zidane enz zile), coutinho,toni kroos,sneider alie staff juzjuz, mondric,torres enz zake, suarez, sanchez, ozil kama rivaldo, ramos kama canavarro, ko usishangaeKaka naona unababaishwa na Ronaldo Xtian na Messi kuwa wanapokezana, ukweli ni kuwa kwa sasa hakuna mafundi wa soka Duniani, wako wachache sana na ndio kisa cha hawa wawili kupokezana,
Hebu kumbuka wakati Ronaldo de Lima, Rivaldo, Carlos, Mtume Gaucho, Decco, Figo, Zidane, Okocha, Chev nk hapo ilikuwa ni shughuli pevu kumchagua best player
Unajua sana mpira mkuuMkuu unataka kuniambia suarezi,neymar, aguero , Diego Costa, lewandosk , n.k hawajui?? Wachezaji wanaofunga 20+ goals per season unawasahau mkuu....
Ngoja nikwambie kitu sio kwamba recently hakuna wachezaji wazuri la hasha... Ni bahati mbaya wametokea kipindi cha messi na neymar .... Messi msimu juzi laliga alifunga magoli zaidi ya 40 kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu mungu kaumba huu ulimwengu ...
Henry wa kawaida kulinganisha na hao watu weweNi Kama aThierry Henry, alikuwa Mkali kipindi cha wakali wengi sio Kama Siku hizi Messi na Ronaldo zaid ya Miaka 10
Mechi ya Mtoano World CUP 1998 Nigeria vs Denmark Jay Jay alionesha ufundi wa Karne lakin Mwishowe wakalazwa 4-1, naikumbuka sana hii Mechi Kama Jana vile
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unachekeshaHao uliowataja bado huwezi wafananisha na akna de Lima, Ronaldinho au Zidane na Messi au Ronaldo wangekuwepo kipindi hicho wasingeshnda kwa kupokezana na kaa ujue mpira kwa sasa ni umekufa ila tunaupenda tu ndo maana hatuachi kuangalia ila angalia world cup za miaka ya karibuni uangalie na za miaka 90 hadi the 02 utaona utofauti mkubwa sanaa ya wachezaji wa sasa na kipindi kile pia angalia ligi kuu kama Seria A na nyingine zote mpaka uingereza ni tofauti na miaka ile tena na Afcon ndo kabisa hakuna kitu kwa kweli wachezaji wa zamani na sasa ni vitu viwili tofauti wa sasa wengi ni pesa kubwa wanapokea viwango kawaida ni wachache wa sasa ambao ukiwaweka namagwiji wa zamani wanaweza pata namba mfano kati ya suarez na Ronaldo de Lima kwa kiwango yupi akae benchi? ?
Kwa mpira upi?Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha ya uwezo na kipaji maridhawa cha hali ya juu alichokuwa nacho.
Basi wewe ni mtoto uliyezaliwa kuanzia 1994 na kuendelea mpira huujui mdogo wangu kwa watu tulioanza kufuatilia mpira tutakushangaa kapitie historia za wachezaji nliowataja halafu urudi tena hapa kwangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unachekesha
Messi hashindanishwi na akina gaucho au zidane bro
Huyo anashindanishwa na pelle na maradona bass
Unaweza ukapata picha ni aina gan ya mchezaj unaongelea
Utaonekana mjinga kumfananisha messi na zidane
CR7 ndo unamringanisha na hao tena nae anawazidi uwezo katika peak yake
Sema ronaldo nae sikuiz kabakiza jina2
Messi mwenyewe akiwaona hao nliowataja anatetemeka na kupiga magoti juu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unachekesha
Messi hashindanishwi na akina gaucho au zidane bro
Huyo anashindanishwa na pelle na maradona bass
Unaweza ukapata picha ni aina gan ya mchezaj unaongelea
Utaonekana mjinga kumfananisha messi na zidane
CR7 ndo unamringanisha na hao tena nae anawazidi uwezo katika peak yake
Sema ronaldo nae sikuiz kabakiza jina2
Kwahyo Mandieta alikuwa fundi kuliko Okocha?Okocha hakua na mchango kwa timu zake Kubeba ubingwa ukiondoa Nigeria;na wakati Okocha yupo kwenye peak kulikua na mafund wengi sana Weah,Ronaldo de Lima,Dinho,Rivaldo,Mendieta,Riquelme nk
Nadhani hamfahamu..yuke ndiye nabii wa mpira..mkuu unamfahamu gaucho?au huwa unahadithiwa
Word yani kwa viungo bora wa hapa karibuni yaya toure hawezi kukosa sema uafrica wakee tu ulimponzaKuna mfaransa rafiki angu mnazi wa soka sana. tukiongelea mpira hafichi hamung'unyi huniambia kuwa Austin Jay Jay Okocha/ Yaya Toure kama sio "uafrika" wao kama sio mmoja wao kuchukua hiyo tuzo ya mchezaji bora wa dunia basi hata katika Tatu bora wangewahi kufika.
Ujue hizi tuzo pia ni biashara kubwa sana. kuna influence kubwa sana ya makampuni yenye ngawira. wanaangalia faida kwanza.1995 George Apong Weah aliwafanya mubashara
Ata kama nizaliwe leoBasi wewe ni mtoto uliyezaliwa kuanzia 1994 na kuendelea mpira huujui mdogo wangu kwa watu tulioanza kufuatilia mpira tutakushangaa kapitie historia za wachezaji nliowataja halafu urudi tena hapa kwangu
Mungu anakuona yani hazard, kroos kwelii uwaweke kwenye same shoes na hao malengendary, anzia kwa iniesta, njoo kwa coutinho, sneider, modric halafu ndio uendeleeKuna akina hazard,iniesta (kama zidane enz zile), coutinho,toni kroos,sneider alie staff juzjuz, mondric,torres enz zake, suarez, sanchez, ozil kama rivaldo, ramos kama canavarro, ko usishangae
Messi ni wa sayar nyingine yaan mfano wake ni maradona japo nae kapitwa mbali
Af insue ni kuwa sahv mpira umekuwa biashara(ushabiki) na messi kasababisha mpira uonekane wa wawili