Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

Mbona mada inaeleweka kabisa kuwa inazungumzia Tasnia nzima ya Muziki ndani yake wakiwemo wanamuziki wote, ambapo kuenjoy au kutokuienjoy tunatakiwa tupajadili.

wote tunakipenda chakula kizuri na tunakipata je tunakila tukiwa gerezani au uraiani? Mjadala upo hapo sasa mleta uzi mtazamo wake kwa aina hii ya muziki hata tukila vixuti bado tupo gerezani. Sijui kwa mfano huo umenisoma.

Sasa unataka kunionjesha siasa au inakuwaje? Soma title ya hii thread yako na mimi ndio lenga hapo.
 
Mkuu, kwa nini unaandika Music Recording Rebal na sio Label??
Please rekebisha, futa "Rebal" na andika "Label"

Ukiwa una-type Zima hiyo Auto-suggestion (Auto-complete) kwenye Keyboard ya simu yako.
MZIKI WA USA (America) NDO UNAFANYIKA HIVYO KWA RECORDING LABEL, MSANII BILA KUWA KWENYE RECORDING LABEL KUBWA BASI JUA UWEZEKANO WA KUTUSUA KWENYE MAINSTREAM NI MDOGO SANAAA. WASANII WAKUBWA WOTE UNAOWAFAHAMU WEWE WA USA (America) WAPO KWENYE RECORDING LABEL.
Mkaruka Recording Label na Media zinafanya kazi kwa Ukaribu. Recording Label zimezishka Media. Na msanii bila kuingia kwenye Label andika maumivu.
Halafu nafasi za kuingia kwenye Label nazo kuzipata ni issue, ni adimu kama Almasi. Maana wasanii chipukizi wanaozitaka hizo nafasi wapo maelfu kwa maelfu
Kwa kifupi Dunia nzima (iwe ni UK, SA, Nigeria, Australia, USA etc) Muziki haujawahi kuwa Mrahisi kwa Msanii yeyote anayeanza Game peke yake bila Label au Wadau wa kumsapoti

Mkuu wa fahamishe wewe kwasababu hata Nicky Minaj mwenyewe yuko pale kwasababu wadau wamewekeza and she can't a say shit. Yuko na pesa kibao kwasababu watu wanajua kufanya business and don't mess up with them. Taylor Swift now is hanging somewhere and no body will feel sorry for her because she signed the blue prints before. Sijui hata naongea nini, mleta mada ni mmoja ya watu wanaojaribu kuongea vitu halafu awamalizi kwasababu hawajui walikua wanataka kusema nini
 
Kimsingi mimi nimemuelewa mleta mada. Anahoja nzuri sana na mimi nitamsaidia kuiainisha...

(a) Kwanza. Mleta mada amejaribu kuzungumzia swala la mziki unaopigwa sasa hivi kwenye media kutokuwa na mashiko na mziki wa bongo flavor tuliozoea......

Yaani kwa mfano, tulitarajia maboresho ya mziki wa sasa yatokane na muziki wa bongo flavor uliowika sana kuanzia miaka ya 2000 kipindi ambapo ndipo mziki uliwaka kweli kweli.

Kimsingi anajaribu kusema mziki wa sasa ni bigijii au wa kugombania goli yaani butua tushinde...... Kila msanii anakuja kuimba takataka yoyote atayojisikia ili mradi tu aweze kutoka kimziki na kuwa maarufu amfikie diamond.....

Hii inafanya huu mziki usiwe na thamani hata kidogo sababu watu wanawania kuwa maarufu by any means na muda mwingine unaona kabisa hakuna kipaji na ubunifu zero ila jitu linakalia kulamba lips na kubinua makalio katika screen kulazimisha kupewa attention.

(b) jambo lingine ambalo mleta mada amegusia ni swala la hawa media kujiingiza katika mchakato wa kuchambua na kubagua nani apigwe kwenye media na nani asipigwe kwa kufuata utaratibu na matakwa yao jambo ambalo sio sawa ukizingatia hao mapresenter na madj wengi wao hawana wanalolijua kuhusu mziki ni watu ambao wapo wapo tu, ukimuuliza kuhusu historia ya mwanamziki kama R. Kelly, Aliyah, Joe Thomas, Keith sweet, SWV, au Donnel Jones atakuuliza hao akina nani..... Ila hajui hao ndio wanamziki ambao wapo katika foundation ya bongo flavor especially upande wa nyimbo za kuimba tukiachana na hip-hop.

So kimsingi ukiwa na hakimu asiyejua haki ni ngumu kupata hiyo haki yenyewe..... Mapresenter na madj hawajui history ya mziki wala genres zake wanabakia kupiga piga nyimbo kwa kufuata vibe tu upuuzi sana.

Pia kuna hizi syndicates ambazo zinabakia kutaka kudominate industry na kutaka kucontrol kila kitu, nani asikike, mziki wa aina gani uwe redioni, na msanii yupi avume.... Upuuzi sana.

Kimsingi kipaji ndicho kinatakiwa kidetermine nani awe juu katika industry sio hao mafala wachache......

Kuhusu nini kifanyike narudi kuja kutoa maoni yangu.....
 
Mtoa mada hoja yake Ni nzuri sema anaingiza uongo kwenye mada yake eti anasema wasafi festival Ni ya kusaga?
 
Kichwa cha habari ndio kinabeba ujumbe wote kwenye thread, au sio? Nyingine zote ni mboyoyo tu. Mimi nakataa kwamba Bongo Fleva imefeli. Imepiga hatua kubwa sana kwenye kila idara. Zamani kulikuwa na watu kibao hawakuwa na vipaji waliingia studio lakini tukasikiliza takataka zao. Siku hizi muziki ni kazi, kama sio fani yako lazima utakaa pembeni. Sitaki kuandika gazeti, lakini ukweli utabaki palepale, mleta mada hajui alikuwa anataka kusema nini
 
Mkuu, kwa nini unaandika Music Recording Rebal na sio Label??
Please rekebisha, futa "Rebal" na andika "Label"

Ukiwa una-type Zima hiyo Auto-suggestion (Auto-complete) kwenye Keyboard ya simu yako.
MZIKI WA USA (America) NDO UNAFANYIKA HIVYO KWA RECORDING LABEL, MSANII BILA KUWA KWENYE RECORDING LABEL KUBWA BASI JUA UWEZEKANO WA KUTUSUA KWENYE MAINSTREAM NI MDOGO SANAAA. WASANII WAKUBWA WOTE UNAOWAFAHAMU WEWE WA USA (America) WAPO KWENYE RECORDING LABEL.
Mkaruka Recording Label na Media zinafanya kazi kwa Ukaribu. Recording Label zimezishka Media. Na msanii bila kuingia kwenye Label andika maumivu.
Halafu nafasi za kuingia kwenye Label nazo kuzipata ni issue, ni adimu kama Almasi. Maana wasanii chipukizi wanaozitaka hizo nafasi wapo maelfu kwa maelfu
Kwa kifupi Dunia nzima (iwe ni UK, SA, Nigeria, Australia, USA etc) Muziki haujawahi kuwa Mrahisi kwa Msanii yeyote anayeanza Game peke yake bila Label au Wadau wa kumsapoti
Watu hawajui jinsi hii industry inavyofanya kazi..haya mambo hapa bongo hata nje yapo

Mfano Hot97 ni Hiphop&RB big radio station marekani na duniani lakini pia na wao wana tamasha lao linaitwa summer jam..na linaendeshwa kama Fiesta,yaani promo based..

Na kuhusu Record Label..hizi hadi zinanunua airtime ili wasanii wao wachezwe..

Wabongo tunapenda fairness ambayo haipo na haitakuja kuwepo..lazima utumie kitu kupata kitu
 
Mwaka 2015 alisaini Deal nono kuwa Balozi wa kampuni ya SAMSUNG kwa Tanzania.
Vanessa kasaini deals na Universal Music Africa kala Mamilioni ambayo wengine tutaishia kuyaota tu maishani.
Afu leo analalamikia Mziki. Hapana bana atuache!
Yeye mwenyewe baada ya kusaini alituambia amekubali sababu ni pesa ndefu amelipwa.
Hizi Label kubwa Sony na Universal zina matawi na ukisaini Sony Music Africa au Universal Music Africa.
Basi watakusimamia kazi zako Africa. ila kutusua Uingereza na Marekani kwenye Charts kubwa za Music za UK Top 40 au Billboard100 hilo sahauuuu.
Labda kama umesainiwa Sony UK, Sony America au Universal UK au Universal America. Hapo ndo unaweza angalauuuu ukikaza unaweza tokea kwenye Charts Kubwa znazoheshimika kama UK TOP 40, AMERICAN TOP 40 na BILLBOARD 100.
Na wimbo wako ukiwa Humo maana yake Umebamba UK na America.
Wasanii wetu weeeengi wanalia na Sony na Universal sababu wao wasanii wa Tanzania walidhani wakishasaini tu baaaaasi watakuwa nyimbo zao zipo UK TOP 40 au Billboard 100 kitu ambacho sio kweli.
Mziki wa Tanzania bado mchanga (infant) kwenye level za Kimataifa.
Ndo maana hukuti Nyimbo za Wabongo kwenye Charts kubwa za Kidunia kama Billboard 100.

Dada yetu Vanessa inavyoonekana baada ya kusaini tu alijua tayari atakuwa Levels za akina Ariana Grande, Miley Cyrus, Rihanna, Rita Ora, Selena Gomez, Meghan Trainor, SZA, Sia, Taylor Swift etc... kitu ambacho ndo kimemfanya ajione kama muziki haujamlipa sababu mategemeo yake hajayafikia.
ila katika Level za KibongoBongo na Africa Vanessa akubali tu kuwa Mziki umemlipa. Labda over-spending na shows-off ndo probably zmemgharimu kifedha.
Ni rahisi sana kutambua hili..Vanessa alitaka aishi kama Kyle Jenner kwa huu muziki
 
Mtoa mada hoja yake Ni nzuri sema anaingiza uongo kwenye mada yake eti anasema wasafi festival Ni ya kusaga?
Na kamuongelea mke wa Kusaga ambaye ni mmiliki pia wa Wasafi

Japo kuwa iko hivi..

Fiesta----Primetime Promotions/Clouds Media

Wasafi Festival----WCB/Wasafi Media
 
Mbona mtoa mada anasema Tamasha la wasafi Ni la kusaga?
 
Watu hawajui jinsi hii industry inavyofanya kazi..haya mambo hapa bongo hata nje yapo

Mfano Hot97 ni Hiphop&RB big radio station marekani na duniani lakini pia na wao wana tamasha lao linaitwa summer jam..na linaendeshwa kama Fiesta,yaani promo based..

Na kuhusu Record Label..hizi hadi zinanunua airtime ili wasanii wao wachezwe..

Wabongo tunapenda fairness ambayo haipo na haitakuja kuwepo..lazima utumie kitu kupata kitu
Yeah definitely, nakubaliana na wewe.
Music Industry ni business kama businesses nyinginezo ili ufanye vizuri humo lazma uwe karibu na walioshikilia hiyo biashara sababu watu (wadau) wamewekeza Fedha zao humo na wanataka Faida. (hivo ni mwendo wa kugawana Percentage za mapato tu, huwezi kula 100% pekee yako)
Bongo wengi tunadhani kwamba Muziki wa UK, USA ni mrahisiiiiii kwamba ukitoka Studio tu unapeleka ka-Wimbo kako Redioni afu Booooom fastaaa unakula Pesa na Umaarufu.
Wanaona kama Bongo hapa wanabaniwa.. Hawajui kuwa hii ni System ipo Dunia nzima.
Akina Cardi B, Big Shaq, Chris Brown, Kanye West, Alicia Keys, Tekashi, 50 Cent, Beyonce, Justin Bieber, Ed Sheeran, Taylor Swift, Migos, Adele etc.. Wote hao wapo kwenye Label Kubwa na bila Label kutusua ni ngumuu ngumuuuu na unawezakata tamaa na ukazeeka bado ngoma hazijapenya katika Mainstream Music industry.
Na Recording Label kule kwa wenzetu ndo zimezikamata Media Kubwa zote..
Ndugu Mkaruka Hata BONGO hapa, hao akina Diamond, Alikiba, Aslay, Joh Makini, Darassa, Harmonize, Vanessa Mdee, Nandy, Maya Sama, Fid Q, Rayvanny etc. Hao wote hapo wakati wanaanza game ya Music wamepitia mikononi mwa Wadau wa Muziki wa Bongo. (Maprezenta wakubwa, Maproducer wakubwa, Mapedeshee wa muziki, etc...
ila Unaweza Kutusua kupitia INTERNET bila kupitia Wadau hasa kama ikitokea uka-TREND na kwenda VIRAL. Lakini Possibility ni ngumu sana ila inawekana.
 
Ni rahisi sana kutambua hili..Vanessa alitaka aishi kama Kyle Jenner kwa huu muziki
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ You have nailed it! Kylie Jenner πŸ˜€πŸ˜€.. Aliyeanzisha huu uzi kama bado hajaelewa industry huwa inafanyaje kazi basi tena.
 
Mziki ni biashara, sio Charity.
Biashara ya Mziki haihitaji Kipaji tu pekee yake..
Akina Chris Brown, Card B, Tekashi, Justin Bieber sio kwamba wana vipaji vikubwa kuliko watu wote Marekani. This is Business. Jaribu kuelewa. Watu (wadau) wanawekeza Pesa zao na wanataka Faida.
Kama unataka kufanya Mziki hakikisha una KIPAJI na UBUNIFU, Fanya kwa Lengo la Biashara, Angalia Soko na Mahitaji yanayotakiwa je Muziki gani unapendwa na Upi unatamba Mtaani?.. Kisha pangilia Mikakati weka KAUBUNIFU ili kujitofautisha na wengine ili iwe rahisi kuku-market ili ujulikane.
Halafu sasa ndo UTAFUTE WADAU (maprezenta wakubwa, maDJ wa radio kubwa, maproducer wakubwa, LABEL etc.) WAKUSHIKE MKONO
Usifanye Muziki tu kwa Kurap Raaap kama Cherehani tu au Kuimba imba kitu ambacho hakibambi kwenye Mainstream.
MTU anaweza imba 🎀🎼🎼 Mabata madogo madogo yanaogeleaaaa/ x2 🎀🎼
Na ukashangaa Wimbo ukapenya kwa Mainstream na ukawa HIT SONG... Hit Songs haziangalii kipaji, unaweza kuwa na kipaji na usifanye Hit Song. HIT SONG HAZINAGA FORMULA na hii ni kwa Dunia Nzima sio Bongo Tu pekee...
Nakujibu KWA NINI UNAONA MUZIKI wa sasa NI BUBBLE GUM MUSIC
Muziki wa DUNIA NZIMA uko hivo, nyimbo za sasa unaziona mbaya sababu MUSIC is DYNAMIC. Muziki hubadilika kutoka generation moja mpaka nyingine.
Hivyo baadhi ya watu waliokulia muda huo wataona mziki huu wa sasa ni mbaya sababu sio muziki wa generation yao wakati wanakua (grow) kutoka Utotoni kuelekea in their early Teenage years.
PIA MUZIKI WENYE UMRI WA MIAKA 10 AU ZAIDI HUWA UNATUKUMBUSHA MATUKIO FLANI NA HIVO KUFANYA TUUONE MZURI.
Hata muziki wa sasa ikipita Miaka 13 tutauona ni Mzuri Tu sababu utakuwa unatukumbusha Matukio Flani nao yaliyopita.
KUHUSU WASANII, MUZIKI WA SASA NA WA ZAMANI
MSANII MKUBWA, kama hutaki KUBADILIKA kwenda na Muda basi jua utakosa Soko la Vizazi vingine na utajikuta Muziki wako unapendwa na watu wachacheeee afu utaanza lalamika Unabaniwa.
Na Media znapiga Aina ya Muziki ambao ndo unatamba muda huu ili ziweze kupata Wasikilizaji wengi, na kupata SOKO KUBWA na kupata MATANGAZO MENGI YA KIBIASHARA ambayo ni PESA kwao zitakazowasaidia kuendesha Media yao.

Kipangaspecial
Mkaruka
Kimsingi mimi nimemuelewa mleta mada. Anahoja nzuri sana na mimi nitamsaidia kuiainisha...

(a) Kwanza. Mleta mada amejaribu kuzungumzia swala la mziki unaopigwa sasa hivi kwenye media kutokuwa na mashiko na mziki wa bongo flavor tuliozoea......

Yaani kwa mfano, tulitarajia maboresho ya mziki wa sasa yatokane na muziki wa bongo flavor uliowika sana kuanzia miaka ya 2000 kipindi ambapo ndipo mziki uliwaka kweli kweli.

Kimsingi anajaribu kusema mziki wa sasa ni bigijii au wa kugombania goli yaani butua tushinde...... Kila msanii anakuja kuimba takataka yoyote atayojisikia ili mradi tu aweze kutoka kimziki na kuwa maarufu amfikie diamond.....

Hii inafanya huu mziki usiwe na thamani hata kidogo sababu watu wanawania kuwa maarufu by any means na muda mwingine unaona kabisa hakuna kipaji na ubunifu zero ila jitu linakalia kulamba lips na kubinua makalio katika screen kulazimisha kupewa attention.

(b) jambo lingine ambalo mleta mada amegusia ni swala la hawa media kujiingiza katika mchakato wa kuchambua na kubagua nani apigwe kwenye media na nani asipigwe kwa kufuata utaratibu na matakwa yao jambo ambalo sio sawa ukizingatia hao mapresenter na madj wengi wao hawana wanalolijua kuhusu mziki ni watu ambao wapo wapo tu, ukimuuliza kuhusu historia ya mwanamziki kama R. Kelly, Aliyah, Joe Thomas, Keith sweet, SWV, au Donnel Jones atakuuliza hao akina nani..... Ila hajui hao ndio wanamziki ambao wapo katika foundation ya bongo flavor especially upande wa nyimbo za kuimba tukiachana na hip-hop.

So kimsingi ukiwa na hakimu asiyejua haki ni ngumu kupata hiyo haki yenyewe..... Mapresenter na madj hawajui history ya mziki wala genres zake wanabakia kupiga piga nyimbo kwa kufuata vibe tu upuuzi sana.

Pia kuna hizi syndicates ambazo zinabakia kutaka kudominate industry na kutaka kucontrol kila kitu, nani asikike, mziki wa aina gani uwe redioni, na msanii yupi avume.... Upuuzi sana.

Kimsingi kipaji ndicho kinatakiwa kidetermine nani awe juu katika industry sio hao mafala wachache......

Kuhusu nini kifanyike narudi kuja kutoa maoni yangu.....
 
Mkuu wa fahamishe wewe kwasababu hata Nicky Minaj mwenyewe yuko pale kwasababu wadau wamewekeza and she can't a say shit. Yuko na pesa kibao kwasababu watu wanajua kufanya business and don't mess up with them. Taylor Swift now is hanging somewhere and no body will feel sorry for her because she signed the blue prints before. Sijui hata naongea nini, mleta mada ni mmoja ya watu wanaojaribu kuongea vitu halafu awamalizi kwasababu hawajui walikua wanataka kusema nini
Mkuu, Rotterdam huko wanasemaje lakini πŸ™‹πŸ½β€β™‚οΈ
 
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.

Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.

Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama.

Sababu:

1. Kwanza Tasnia ya mapromota Tanzania imekufa. Hakuna kabisa independent music promoters.
- Yaani hapa media ( au media related promoters ) ndio promoters kwenye muziki na wanamiliki wasanii.

2. Media ( hususani ambazo zimechagua niche ya burudani ) zimegeuka Record labels, waandaaji wa matamasha na promoters.

UFAFANUZI.

Ukuchagua kuwa mwanamuziki ( hata ukiwa na kipaji kama Michael Jackson ) kwanza bila kuwa katika upande mmoja muziki wako hauwezi kwenda.

- Hapa kuna pande kubwa 4.

1. Clouds media ( Waandaaji wa Fiesta )
2. Wasafi Media ( Waandaaji wa Wasafi festival )

Note: Waandaaji wa Tamasha la Fiesta na Wasafi festival ni kanpuni moja Prime time promotions ya Juhayna Kusaga.

3. Efm ( Waandaaji wa Muziki Mnene - hawa tamasha lao ni bure ).

4. Lastly, ni East Africa TV ( hawa hawana tamasha, ila hutoa tu suppory ).

So, bila kuwa associated na media mojawapo hapo juu maana yake hutapata Show wala promo kupitia media yao mwaka mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ( Maana wanatoa promo kwa wasanii ambao finally watawtumia kwenye matamasha yao kwa ujira mdogo. )
Hapa hata wakikwambia ufanye tamasha bure, utafanya kama malipo ya promo na support uliyopewa.

- Pia, ukijinasibisha na media mojawapo tafsiri ni kwamba, hupati support kutoka media nyingine.

Na Kwasababu ya promo kubwa inayofanywa, tayari mashabiki wako brainwashed, wapo wapo tu kama waumini wa Gwajima.

Na hapa ndipo Muziki wa Tanzania ulipofikia, huhitaji kuwa na kipaji kuimba, unahitaji kuwa kwenye kundi mojawapo hapo juu.

Kwahiyo kwa wale wanaooenda muziki mzuri ( siyo wa kulishwa kwa lazima wajue hili )

Je, Tunaelekea wapi ?
Mimi muziki wa Tanzania au Bongo fleva huwa nasikiliza miziki ya 2010 kurudi nyuma kinyume na hapo watapambana na miziki uchwara yao.
 
Mtoa mada hoja yake Ni nzuri sema anaingiza uongo kwenye mada yake eti anasema wasafi festival Ni ya kusaga?
But inawezekana kwasababu Wasafi media mostly kwa asilimia kubwa inamilikiwa na kusaga, diamond kupitia wasafi company ana hisa kiasi kidogo sana ingawa anatumika kama image ya brand but nyuma ya pazia he is just a puppets.

Kuna kikaratasi kutoka TCRA nilishakiona kikionyesha umiliki wa hisa katika Wasafi media diamond ana hisa ndogo sana ni kama 15% if not less....
 
Hiyo documents uliiona au ulisimuliwa? Kama ulisimuliwa basi hii ndio document yenyewe hebu tizama tena Nasib Abdul ana asilimia ngapi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1920059_2F0C8334-CFE4-4F05-8BB9-916DCA348955.jpeg
 
Mziki ni biashara, sio Charity.
Biashara ya Mziki haihitaji Kipaji tu pekee yake..
Akina Chris Brown, Card B, Tekashi, Justin Bieber sio kwamba wana vipaji vikubwa kuliko watu wote Marekani. This is Business. Jaribu kuelewa. Watu (wadau) wanawekeza Pesa zao na wanataka Faida.
Kama unataka kufanya Mziki hakikisha una KIPAJI na UBUNIFU, Fanya kwa Lengo la Biashara, Angalia Soko na Mahitaji yanayotakiwa je Muziki gani unapendwa na Upi unatamba Mtaani?.. Kisha pangilia Mikakati weka KAUBUNIFU ili kujitofautisha na wengine ili iwe rahisi kuku-market ili ujulikane.
Halafu sasa ndo UTAFUTE WADAU (maprezenta wakubwa, maDJ wa radio kubwa, maproducer wakubwa, LABEL etc.) WAKUSHIKE MKONO
Usifanye Muziki tu kwa Kurap Raaap kama Cherehani tu au Kuimba imba kitu ambacho hakibambi kwenye Mainstream.
MTU anaweza imba 🎀🎼🎼 Mabata madogo madogo yanaogeleaaaa/ x2 🎀🎼
Na ukashangaa Wimbo ukapenya kwa Mainstream na ukawa HIT SONG... Hit Songs haziangalii kipaji, unaweza kuwa na kipaji na usifanye Hit Song. HIT SONG HAZINAGA FORMULA na hii ni kwa Dunia Nzima sio Bongo Tu pekee...
Nakujibu KWA NINI UNAONA MUZIKI wa sasa NI BUBBLE GUM MUSIC
Muziki wa DUNIA NZIMA uko hivo, nyimbo za sasa unaziona mbaya sababu MUSIC is DYNAMIC. Muziki hubadilika kutoka generation moja mpaka nyingine.
Hivyo baadhi ya watu waliokulia muda huo wataona mziki huu wa sasa ni mbaya sababu sio muziki wa generation yao wakati wanakua (grow) kutoka Utotoni kuelekea in their early Teenage years.
PIA MUZIKI WENYE UMRI WA MIAKA 10 AU ZAIDI HUWA UNATUKUMBUSHA MATUKIO FLANI NA HIVO KUFANYA TUUONE MZURI.
Hata muziki wa sasa ikipita Miaka 13 tutauona ni Mzuri Tu sababu utakuwa unatukumbusha Matukio Flani nao yaliyopita.
KUHUSU WASANII, MUZIKI WA SASA NA WA ZAMANI
MSANII MKUBWA, kama hutaki KUBADILIKA kwenda na Muda basi jua utakosa Soko la Vizazi vingine na utajikuta Muziki wako unapendwa na watu wachacheeee afu utaanza lalamika Unabaniwa.
Na Media znapiga Aina ya Muziki ambao ndo unatamba muda huu ili ziweze kupata Wasikilizaji wengi, na kupata SOKO KUBWA na kupata MATANGAZO MENGI YA KIBIASHARA ambayo ni PESA kwao zitakazowasaidia kuendesha Media yao.

Kipangaspecial
Mkaruka
Biashara haziendi hivyo.

Ni udhaifu tu wa nchi zetu ndio maana, taasisi zinazotakiwa kusimamua ushindani kama FCC zipo zipo tu.

Ukiacha monopoly lazima tu consumers wapate low quality products.

Ndio maana hata uwanjani kuna marefa ili kuhakikisha usawa, na hivyo burudani kwa watazamaji.

Hata mimi najua muziki ni biashara ndio maana sijasema mtu asaidiwe, ninachosema katika mazingira kama hayo hata hao wanaomilikiwa na hizo na kukuzwa sana siku wakipigwa chini ndio utajua u ubunifu wao wote na kazi havikuwahi kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom