Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Zinaitwa mechi za kirafiki, kujiandaa na mashindano rasmi
 
Hawajui maisha yalivyobadirika, enzi zetu tunaenda vitani Uganda mwaka 1978 unarudi Vitani baada ya miaka 2 unamkuta mkeo yupo kama ulivyomuacha.

Siku hizi unaenda kazini asubuhi kurudi jioni unakuta Vijana wa hovyo wameshapiga chatta.

Ndiyo sembuse mmeachana miaka 3, si utajikuta amekuunga kwenye Grid ya Taifa uanze kumeza dawa 🤪
Haswa grid ya taifa.
 
Back
Top Bottom