Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

[emoji23][emoji23][emoji23] Watu wa JF kila mtu wana data zake!![emoji119][emoji119]

Hapo kwenye waonjaji hawataki ndoa anza na unayetaka kumrithisha mashamba yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio desturi yenu kurithishwa mashamba😂
 
Si Babu yangu kwann asinirithishe?? Wivu huo kitikou
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
😂😂😂😂Lana sumaka mmeo uyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Watu wa JF kila mtu wana data zake!![emoji119][emoji119]

Hapo kwenye waonjaji hawataki ndoa anza na unayetaka kumrithisha mashamba yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuta saivi anapiga mishe za Ubalozini labda Brazil ama Scandinavian huko.

Nilikuwa sijui kwamba hata Mkwe wetu naye anaonja?

Leo nitamwandikia barua kumwita kwenye kikao cha familia haraka aje aseme ni lini atakutolea Posa 🤗
 
yule demu ni mzuri kinoma...mweupeee
Ila wacha nifute namba yake tu.

Kibunda Mwaisa.
 
Unaweza kuta saivi anapiga mishe za Ubalozini labda Brazil ama Scandinavian huko.

Nilikuwa sijui kwamba hata Mkwe wetu naye anaonja?

Leo nitamwandikia barua kumwita kwenye kikao cha familia haraka aje aseme ni lini atakutolea Posa [emoji847]

Itakua mjini ukipata connection umetoboa

Huyo anaonja babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kikao kiwahi, nimechoka kutumika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atamaliza buyu la asali atuachie vumbi
 
Unaweza kuta saivi anapiga mishe za Ubalozini labda Brazil ama Scandinavian huko.

Nilikuwa sijui kwamba hata Mkwe wetu naye anaonja?

Leo nitamwandikia barua kumwita kwenye kikao cha familia haraka aje aseme ni lini atakutolea Posa 🤗
😂😂😂😂Shughuli imeshakua kisiriri
 
Humu kila mwanamke anapinga eti hawezi kurudiana na ex wake,ila ukweli wanawake wengi kwa maex zenu hamchomoi, mkatae mkubali wenye uwezo ni wachache mno, sawa na kusema hamna.

Ila hamjijui wanawake wengi hamna vifua kwa changamoto zenu mnazokutana nazo kwenye ndoa na mahusiano yenu. Mnapenda kuongea mahusiano yenu kwa watu wa nje ili mpate relief na kuonewa huruma na time kama hizo kama ukakutana na ex-wako 99% lazima mtapasha kiporo.Kwani kuna wengine hata ushauri wa mahusiano yao wanawaomba maex wao.

Hapo sasa ndipo thamani kuoa bikra unapo onekana,kwani anakakuwa kiroho kafungana na mmewe tu.Ila kama uliachia kipochi manyoya kwa baadhi ya wanaume,basi jua umeshafungama nao kiroho karibia wote.

Siku zote wanawake ni watu wa kushawishiwa na ndio maana mnatongozwa,so kama mlikuwa na mahusiano kipindi cha nyuma,basi basi hapo hamna kutongozana sana kwani kiporo hakihitaji moto mwongo.
 
Huyo anaonja babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kikao kiwahi, nimechoka kutumika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atamaliza buyu la asali atuachie vuvumbi
Hahahaha............anza kumpiga Calendar huyo muonjaji kila akitaka rematch, hadi siku ikitokea umezidiwa na genye ndiyo ufanye kumpa 🤪🏃🏃🏃
 
Hahahaha............anza kumpiga Calendar huyo muonjaji kila akitaka rematch, hadi siku ikitokea umezidiwa na genye ndiyo ufanye kumpa [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]

Nimeanza mgomo baridi babu, kibuyu kitaisha asali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye kuzidiwa sasa……..?! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom