Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tayari kashatuma babu, hapa nimeagiza na savannah ya baridi
Angalia usigonganishe magari tu, maana na umri huu kuja huko mjini kusolve case zenu nitashindwa Mjukuu 🤪🏃🏃🏃
 
Angalia usigonganishe magari tu, maana na umri huu kuja huko mjini kusolve case zenu nitashindwa Mjukuu [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na yagongane tyuuu!! Km bima imeisha sa tufanyeje??
 
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini?

Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
Niko na Ex wangu mmoja ye kupasha kiporo hataki ila anapenda kunikopa ela. Nampendea kitu kimoja always anarudisha ela yangu mda tuliokubaliana hanaga chenga.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikimbie mapema kabla hawaajanza kupigana saivi [emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu unakimbiaje tena?? Me nategemea wakianza kugombana uwacharaze bakora
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu unakimbiaje tena?? Me nategemea wakianza kugombana uwacharaze bakora
Uzee huu Mjukuu nitaweza kweli kuamua mgomvi mkubwa hivyo, maana najua lazima washikiane bastola hao 🤪
 
Uzee huu Mjukuu nitaweza kweli kuamua mgomvi mkubwa hivyo, maana najua lazima washikiane bastola hao [emoji2957]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu itabidi tuwachunguze anayemiliki bastola naachana naye, sitaki wasije kuni Ufoo Saro bure
 
Back
Top Bottom