YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Ila ndiyo wanakupa chachu ya kuweza kuzidi kuyatafuta hayo maokoto.
Ngoja nimwambia Mjukuu azidi kukuomba hela [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani babu nasemwa napenda maokoto lkn cha ajabu hawajawahi kutuma hata kwa kukosea!!!! Emu waambie wajukuu zako wa kiume watume nione km kweli nayapenda hayo wanayoita maokoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]